nini maana ya neno 'EXCLUSIVE'

nini maana ya neno 'EXCLUSIVE'

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
wadau naomba kufahamishwa maana ya neno 'exclusive' kwa kiswahili.
Nimeangalia kwenye kamusi lakini sijapata maana yake kamili!
 
. Mkuu mhalisi Kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI maana ya neno lako ni katika Tafsiri Nne kama ifuatavyo:

exclusive
adj

1 (of persons) nayejitenga (kwa kujiona bora), -siyechanganyika na wengine, pweke.
2 (of a group/society)maalum (kwa watu fulani tu).
3 -a pekee Dictionary making is not his exclusiveemployment utungaji kamusi si kazi pekee anayoifanya.
4 exclusive of pasipo, bila kuhesabu, mbali na. exclusively adv.

Natumai imekusaidia
.
 
. Mkuu mhalisi Kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI maana ya neno lako ni katika Tafsiri Nne kama ifuatavyo:

exclusive
adj

1 (of persons)nayejitenga (kwa kujiona bora), -siyechanganyika na wengine, pweke.
2 (of a group/society)maalum (kwa watu fulani tu).
3 -a pekee Dictionary making is not his exclusiveemployment utungaji kamusi si kazi pekee anayoifanya.
4 exclusive of pasipo, bila kuhesabu, mbali na. exclusively adv.

Natumai imekusaidi
imenisaidia mkuu. ahsante sana kwa ufafanuzi mzuri.
 
exclusive maana yake "live bila chenga" , mfano ni kuelezea jambo au kitu kwa kutoa yote bila kubakisha kitu...
 
Neno ni dhana tata na ni dhana pana, nivigumu kupata maana ya mojakwamoja ya neno. kwani fasili hizo hutegemea kigezo kinachotumika ktk kufasili neno.Mfano kigezo cha kimofolojia, ksintaksia, kisemantiki,kifonolojia au kiothografia. Kwakifupi dhana ya neno inautata, utata huo unatokana na matuimizi ya vigezo tofauti kayika kufasili neno, muundo wa lugha,mitazamo tofauti ya wataala juu ya dhana ya meno nk.
 
Neno ni dhana tata na ni dhana pana, nivigumu kupata maana ya mojakwamoja ya neno. kwani fasili hizo hutegemea kigezo kinachotumika ktk kufasili neno.Mfano kigezo cha kimofolojia, ksintaksia, kisemantiki,kifonolojia au kiothografia huweza kukupatia maana/fasili tofauti ya neno kati ya kigezo kimoja na kingine. Kwakifupi dhana ya neno inautata, utata huo unatokana na matuimizi ya vigezo tofauti kayika kufasili neno, muundo wa lugha,mitazamo tofauti ya wataala juu ya dhana ya neno nk.
 
wadau naomba kufahamishwa maana ya neno 'exclusive' kwa kiswahili.
Nimeangalia kwenye kamusi lakini sijapata maana yake kamili!

Exclusive means
1. "specially designed for/specially meant for..." Yaani kitu maalum au cha kipekee kwa ajili ya kitu, watu au mahali fulani
2. something which is not included. i.e. the oossite of inclusive
 
Back
Top Bottom