Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
. Mkuu mhalisi Kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI maana ya neno lako ni katika Tafsiri Nne kama ifuatavyo:
exclusive adj
1 (of persons)nayejitenga (kwa kujiona bora), -siyechanganyika na wengine, pweke.
2 (of a group/society)maalum (kwa watu fulani tu).
3 -a pekee Dictionary making is not his exclusiveemployment utungaji kamusi si kazi pekee anayoifanya.
4 exclusive of pasipo, bila kuhesabu, mbali na. exclusively adv.
Natumai imekusaidi
imenisaidia mkuu. ahsante sana kwa ufafanuzi mzuri.
exclusive maana yake "live bila chenga" , mfano ni kuelezea jambo au kitu kwa kutoa yote bila kubakisha kitu...
wadau naomba kufahamishwa maana ya neno 'exclusive' kwa kiswahili.
Nimeangalia kwenye kamusi lakini sijapata maana yake kamili!