Sio walokole pekee, yeyote anaweza kuokoka, akishamkiri tu Yesu kuwa ndiye mwokozi wa maisha yake..Walokole ndio huokoka
Hao wote unaowasikia wakisema hivyo ni wanafki wakidini... Mistari inayozungumzia wokovu iliyopo katika biblia inalizingumzia suala hilo katika hali yawakati Ujao...Nimeuliza kiimani, kwa sababu huwasikia wengi hususan wasio waislam wakisema "nimeokoka, ameokoka, wameokoka" likihusika na imani zao.
Ndiyo nauliza ni nini maana ya kuokoka?
Hakuna mwamba kama Yesu, Ni yeye pekee aliyekufa akafufuka ..
Kumbe unaacha uislam kwanza cyo? Kuokoka:Ni kitendo cha kuwa huru kutoka kwenye dhambi yaani mtu aliyeokoka ni yule asiye na dhambi ambapo mpaka sasa hatuna mtu huyo zaidi ya kuwa na wazinzi tuWw hujauliza kwa nia ya kujifunza ni unafiki tu unakusumbua ww ya wakristo yana kuhusu nn maana hata wakikueleza kwa ulivo mdini wanatwanga maji kwenye kinu.KUOKOKA NI KUACHA UISLAM NA KUJA KWA MUNGU WA KWELI.
Kwani "walokole" siyo wakristo?Walokole ndio huokoka
Atuambie kwanza ..kuhusu bikira 72,mito ya pombe na uhalali na uharamu wa nguruwe katika muktadha tofauti!?Ww hujauliza kwa nia ya kujifunza ni unafiki tu unakusumbua ww ya wakristo yana kuhusu nn maana hata wakikueleza kwa ulivo mdini wanatwanga maji kwenye kinu.KUOKOKA NI KUACHA UISLAM NA KUJA KWA MUNGU WA KWELI.
Yesu anawezaje kuwa "mwokozi" wakati yeye mwenyewe aliomba aokolewe? Mpaka akalalamika "mbona unaniwacha?".KUOKOKA NI KUMPOKEA NA KUMFANYA YESU KRISTO KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKO
MaranAtha-Bwana Wetu Yesu Kristo Anakuja View attachment 2806936
Huyo mzungu kwenye picha ndiye Yesu?KUOKOKA NI KUMPOKEA NA KUMFANYA YESU KRISTO KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKO
MaranAtha-Bwana Wetu Yesu Kristo Anakuja View attachment 2806936
Walokole na wakristo ni kitu kimoja isipokuwa unaweza ukajiita wa Kristo ila sio wa kristo kwa kuwa hujaokoka...Kwani "walokole" siyo wakristo?
Nini maana ya kuokoka?
Nimeweka sababu ya kuuliza, labdahujnisoma vizuri, Soma tena kuhusu mafundisho yangi ya Kiislam:Ww hujauliza kwa nia ya kujifunza ni unafiki tu unakusumbua ww ya wakristo yana kuhusu nn maana hata wakikueleza kwa ulivo mdini wanatwanga maji kwenye kinu.KUOKOKA NI KUACHA UISLAM NA KUJA KWA MUNGU WA KWELI.
Unapiga chenga kaali sana lakini hujajibu swali:Walokole na wakristo ni kitu kimoja isipokuwa unaweza ukajiita wa Kristo ila sio wa kristo kwa kuwa hujaokoka...
Wengi hujiita tu hivyo kimwili ila kiroho hawajampokea Yesu kuwa Bwana wa maisha yao
Yesu Kristo ni mwanadamu kweli kweli na Mungu kweli kweli...Yesu anawezaje kuwa "mwokozi" wakati yeye mwenyewe aliomba aokolewe? Mpaka akalalamika "mbona unaniwacha?".
Kivipi anayelia kuokolewa awe "mwokozi"?
"Mungu wa kweli" ni yupi?Ww hujauliza kwa nia ya kujifunza ni unafiki tu unakusumbua ww ya wakristo yana kuhusu nn maana hata wakikueleza kwa ulivo mdini wanatwanga maji kwenye kinu.KUOKOKA NI KUACHA UISLAM NA KUJA KWA MUNGU WA KWELI.
Sina mtego wowote hapo. Nimeuliza kiukweli kabisa na nimeeleza kwanini nimeuliza. Kanisome tena.Mimi ni mkristo... Nimejitahidi sana kutafuta mstari unaonipa uhakika wakuwa nikifanya hivyo nimeokoka ila nimeukosa... Yote inayoelezea wokovu ipo katika wakati ujao...
Samahani...Nilichomaanisha ni kuwa walokole ndio huamini hiviSio walokole pekee, yeyote anaweza kuokoka, akishamkiri tu Yesu kuwa ndiye mwokozi wa maisha yake..
Hapa anakuwa ameokoka, na nguvu za Roho Mtakatifu zinaanza kufanya kazi ndani yake ..
Waulize walokole SasaKwani "walokole" siyo wakristo?
Nini maana ya kuokoka?
Kwa hiypo na wewe ni kama mimi, huelewi maana ya kuokoka ni nini, au sivyo?Waulize walokole Sasa
Ulichokiandika sio sahihi kwa 100% kibiblia. Nitaweka ufafanuzi hapa.Mimi ni mkristo... Nimejitahidi sana kutafuta mstari unaonipa uhakika wakuwa nikifanya hivyo nimeokoka ila nimeukosa... Yote inayoelezea wokovu ipo katika wakati ujao. Je, Ni Mstari gani au andiko gani linalotuthibitishia.. nikifanya hivi au vilw nitakua nimeokoka na sio nitakuja kuokoka?
Namaanisha... Kwanini tuseme tumeokoka wakati maandiko yanatuambia Tutaokoka.?
Halafu tusipende kulazimisha udini katika mada zilizo wazi. Swali ni nini maana ya Kuokoka. wewe imekuja na habari za Wokovu... kitu ambacho nakuona umenasa kwenye mtego wa mtoa mada.
Umeshajibiwa lakini unaleta ubishi tu.Unapiga chenga kaali sana lakini hujajibu swali:
Kwani "walokole" siyo wakristo?
Nini maana ya kuokoka?
Haijarishi unaamini hivyo ama la, ukweli unabakia hivyo hivyo kimaandiko. Ukimpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako maana yake umeokoka kwa mujibu wa maandiko (Matendo ya Mitume 16:30-31)Samahani...Nilichomaanisha ni kuwa walokole ndio huamini hivi