Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
!
!
Tutafika tu mdogo mdogo
!
Tutafika tu mdogo mdogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama in kule nyumbani unakutana na bonge la nyani liko peke yake "IBUGHE"ROGUE
1. Dishonest/Unprincipled man
2. An elephant or other large wild animal driven away or living apart from the herd and having savage or destructive tendencies
SASA HAPO NDIO UJUE NANI NI NANI MKUU
Hujui matumizi ya google?Tangu asubuhi napata notification kutoka forums mbalimbali kuhusu hiki kijarida uchwara cha watu wa magharibi kuwa kimemchafua RAIS WETU MPENDWA ila sijaelewa chochote maana maelezo mengi ya Kiingereza lakini kinachotangulia ni Rogue President hii ina maana gani? maana kizungu kimenitupa mbali
Malaika haongozwi na mtuMtu mwenye uwezo wa kuongoza malaika!!!
Kwa mara ya kwanza imetokea Tanzania!!Malaika haongozwi na mtu
HahahahaKwa mara ya kwanza imetokea Tanzania!!
Natarifa zilizopo mtukufu Atapaa hatakufa!!Hahahaha
[emoji23] amekua yesu?Natarifa zilizopo mtukufu Atapaa hatakufa!!
Kiongozi wa malaika!![emoji23] amekua yesu?