Nini maana ya neno Rogue?

Nini maana ya neno Rogue?

ROGUE

1. Dishonest/Unprincipled man

2. An elephant or other large wild animal driven away or living apart from the herd and having savage or destructive tendencies


SASA HAPO NDIO UJUE NANI NI NANI MKUU
Kama in kule nyumbani unakutana na bonge la nyani liko peke yake "IBUGHE"
 
Tangu asubuhi napata notification kutoka forums mbalimbali kuhusu hiki kijarida uchwara cha watu wa magharibi kuwa kimemchafua RAIS WETU MPENDWA ila sijaelewa chochote maana maelezo mengi ya Kiingereza lakini kinachotangulia ni Rogue President hii ina maana gani? maana kizungu kimenitupa mbali
Hujui matumizi ya google?
 
Rogue Ni Mtu Haswa Kiongozi Anayejali Demokrasia, Pamoja Na Kuheshimu Mawazo Ya Wapinzani Wake,

Huyo Ndio Rogue ...Mkuu.
Asante mkuu ila siyo kweli maana kule nimeona kuna maneno makali
 
Good for nothing

200.gif
Mkuu sijaambulia kitu
 
Back
Top Bottom