Nini maana ya Rais Kusema Nina Boss wangu hapa, Au ndo Futungo

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,850
Reaction score
6,030
Naanza kutengeneza conspiracy theory, tunaamini Rais ndio Kiongozi Mkuu kabisa wa nchi, ambaye anapewa madaraka na wananchi. Sasa hili Suala la Rais Samia Kusema kuwa yeye pia ana boss wake limeleta sintofahamu kubwa sana juu ya Kauli yake kuwa Kikwete ndio Boss wake.

Hii inamaana Samia amepewa madaraka na Kikwete, au ndo haya mambo aliyosema pole pole kuwa Kuna kundi la watu nje serikali ndo linaloongoza nchi ambalo yeye aliliita ni FUtungo, kwamba Rais aliyepo madarakani ni mwanasesere na Hana maamuzi. Je hii ya kutekwa, mauaji, kesi za uwongo ni za Samia au ni maelekezo ya boss wa Samia.

Sasa hapa ndo naanza kupata wasiwasi juu ya Kifo Cha Magufuli, je Kifo chake lilikuwa halali au kikundi Cha Futungo kilihusika Ili kiweke mtu wanaemtaka wao.

Siku upinzani ukishika nchi tutaambiwa ukweli juu ya Kifo Cha magufuli
 
Dogo una uwelewa gani wa masuala ya kiutawala na uongozi?
 
Bosi wake ni chama kilichompa nafasi!

Ndio maana chama kina ilani isemayo

"Kazi na utu tunasonga mbele"

Na sisi tunasema mitano Tena kwa mwenyekiti!!
 
Nitafutieni ule uzi wa "aliyekataa kustaafu kustaafishwa"
 
Sasa hili Suala la Rais Samia Kusema kuwa yeye pia ana boss wake limeleta sintofahamu kubwa sana juu ya Kauli yake kuwa Kikwete ndio Boss wake.
Ulikua haujui au unatufanya sisi mazombie wa pale kwa Mwamposa?
 
Back
Top Bottom