ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Dogo una uwelewa gani wa masuala ya kiutawala na uongozi?Naanza kutengeneza conspiracy theory, tunaamini Rais ndio Kiongozi Mkuu kabisa wa nchi, ambaye anapewa madaraka na wananchi. Sasa hili Suala la Rais Samia Kusema kuwa yeye pia ana boss wake limeleta sintofahamu kubwa sana juu ya Kauli yake kuwa Kikwete ndio Boss wake.
Hii inamaana Samia amepewa madaraka na Kikwete, au ndo haya mambo aliyosema pole pole kuwa Kuna kundi la watu nje serikali ndo linaloongoza nchi ambalo yeye aliliita ni FUtungo, kwamba Rais aliyepo madarakani ni mwanasesere na Hana maamuzi. Je hii ya kutekwa, mauaji, kesi za uwongo ni za Samia au ni maelekezo ya boss wa Samia.
Sasa hapa ndo naanza kupata wasiwasi juu ya Kifo Cha Magufuli, je Kifo chake lilikuwa halali au kikundi Cha Futungo kilihusika Ili kiweke mtu wanaemtaka wao.
Siku upinzani ukishika nchi tutaambiwa ukweli juu ya Kifo Cha magufuli
Wahuni wamekusoma watakuletea salamuNje ya mada
Mfano nikimpa mimba mdada af nika muomba msamaha akanisamehe hiyo mimba itakuwa yangu?
Msinifokee nina kisukari
Hapana itakuwa mimba ya JamhuriNje ya mada
Mfano nikimpa mimba mdada af nika muomba msamaha akanisamehe hiyo mimba itakuwa yangu?
Msinifokee nina kisukari
Oh kumbe mbona na daiwa hela ya matunzoHapana itakuwa mimba ya Jamhuri
Ulikua haujui au unatufanya sisi mazombie wa pale kwa Mwamposa?Sasa hili Suala la Rais Samia Kusema kuwa yeye pia ana boss wake limeleta sintofahamu kubwa sana juu ya Kauli yake kuwa Kikwete ndio Boss wake.
Pole mkuu kwa ugonjwa wakisukari... ila bado haijaingia sana, ichomoe kabla haijafikia ubongo..Nje ya mada
Mfano nikimpa mimba mdada af nika muomba msamaha akanisamehe hiyo mimba itakuwa yangu?
Msinifokee nina kisukari