Nini maana ya Rais Kusema Nina Boss wangu hapa, Au ndo Futungo

Kwa hili, namuunga mkono Raisi, angalau kaongea ukweli mtupu. Na hicho ndicho tunachokihitaji kutoka kwa wanasiasa na viongozi, ukweli bila kupindisha. Huyu ndiye Boss wake mkuu, na kaweka wazi msimamo. Safi sana
 
Kwenye wasiwasi wako ndo upigie mstari Kisha u bold
 
Mm huitwa boss na demu wangu kwa kuwa naichakata mbususu yake.

Mleta mada huoni hii pia inaweza kuwa sabb ya Kikwete kuitwa boss?
 
Akisema Nina boss Wangu, Ni sawa na anayesema Kazi za watu. Siku ukija kumjua huyo mwenye kazi hakika utakua umekufa.
#Kazi za watu
# NRNE
 
Nimewaza sana hilo tukio, ila nadhani mama kaona bora avie lawama na kumbainisha mwenye lawama zake hadharani, katumia indirect way, kua si yeye anaefanya hayo maana na yeye ana boss wake, ni fikra zangu tu
 
Mda always umeendelea kua mwalimu wangu mzuri tutajua Mengi mpaka Kufika mwezi wa kumi
 
Watanzania wanapenda kusikia wanayopenda kusikia na kafanya maksudi kusema hivyo ili mfurahi
 
Hapana itayeyuka hivyo haitakuwepo tena.
Nje ya mada

Mfano nikimpa mimba mdada af nika muomba msamaha akanisamehe hiyo mimba itakuwa yangu?

Msinifokee nina kisukari
 
Tangu ni muone kwenye uzinduzi wa busisi na kuna nchi alienda kumuwakilisha Chura toka hapo nikaamin yeye ndo rais wetu kwa awamu nyingine
 
Hakuna Rais hapa ni bomu tena la kienyeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…