Habari ,Hivi wana Jf hizi tofauti zina Maana gani katika sekta ya Afya ? hizi tofauti kimtazamo ni kama ndogo lakini madhara yake yanaweza kuwa makubwa :-
1.Unakwenda hospitali A unambiwa kwenye figo kuna Maji unakwenda hospitali B siku hiyo hiyo unambiwa hauna shida yoyote au unaenda hospitali A unaambiwa unauvimbe unaenda B huna .
2.Unakwenda Hospitali A unaambiwa hizi dawa kwa hali yako ndio zitakufaa sana Unakwenda Hospitali B unabadilishiwa Dawa unaambiwa hutakiwi kutumia hizo Dawa .
3.Unakwenda Hospitali A unaambiwa unatakiwa ufanyiwe Upasuaji unakwenda Hospitali B unaambiwa huhitaji upasuaji Dawa tu zinatosha .
Nimejiuliza sana hivi sekta Nyeti kama hii kwanini kuwe wataalamu wanaokinzana hivi ?
Je Vyuo vyetu vya kupika wataalamu wa afya vimekuwa vibovu kiasi Hiki ? .Maana kuna tofauti Nyingi sana na hizi ni badhi tu ya Tofauti