Malizia Boss upande wa UHDIdadi ya pixel, kioo chochote kiwa cha simu ama tv kinatengenezwa na vidoti vidogo vidogo vinaitwa pixel, jinsi pixel zinavyokua nyingi ndio jinsi Quality ya picha inavyoongezeka.
4k inamaanisha kuna pixel 3840 upana na pixel 2160 kiurefu.
Pia 4k inaenda sambamba na technology kama Hdr10 na Dolby vision kuongeza huo mng'ao wa picha.
Mwisho wa siku angalia matumizi yako, kama unaangalia tu TV za kina Azam, Dstv na Startimes sio lazima tv iwe 4k, tafuta tv ambayo ina upscale hizo content vizuri.
UHD ni kifupi cha Ultra HD Siku hizi inamaanisha hio 4k tu, japo kidefintion zina utofauti kidogo.Malizia Boss upande wa UHD
Ni Mungu tu akuongezee maisha marefu kwani kupitia wewe mtaani kwangu mimindio mwana techbora, Uishi sana Chief, jamii forum ukifa usiozeUHD ni kifupi cha Ultra HD Siku hizi inamaanisha hio 4k tu, japo kidefintion zina utofauti kidogo.
UHD ni 3840x2160
4k ni 4096x2160
Sema kimtaa mtaa UHD=4K
Asante saana kwa darasa. Matumizi yangu ya TV ndio hayo tu. Kuangalia habari, mpira na vitu kama hivyo. Sina tumizi jingineIdadi ya pixel, kioo chochote kiwa cha simu ama tv kinatengenezwa na vidoti vidogo vidogo vinaitwa pixel, jinsi pixel zinavyokua nyingi ndio jinsi Quality ya picha inavyoongezeka.
4k inamaanisha kuna pixel 3840 upana na pixel 2160 kiurefu.
Pia 4k inaenda sambamba na technology kama Hdr10 na Dolby vision kuongeza huo mng'ao wa picha.
Mwisho wa siku angalia matumizi yako, kama unaangalia tu TV za kina Azam, Dstv na Startimes sio lazima tv iwe 4k, tafuta tv ambayo ina upscale hizo content vizuri.
Kuna tv zina 4k na ni nzuri ukiziona, ila hazina uwezo wa ku upscale picha zenye resolution ndogo (sd) kwenda 4k. Kwa matumizi yako tv hizi hazikufai.Asante saana kwa darasa. Matumizi yangu ya TV ndio hayo tu. Kuangalia habari, mpira na vitu kama hivyo. Sina tumizi jingine
Naomba nije pm kwako ndugu Nina jambo nataka unishauriIdadi ya pixel, kioo chochote kiwa cha simu ama tv kinatengenezwa na vidoti vidogo vidogo vinaitwa pixel, jinsi pixel zinavyokua nyingi ndio jinsi Quality ya picha inavyoongezeka.
4k inamaanisha kuna pixel 3840 upana na pixel 2160 kiurefu.
Pia 4k inaenda sambamba na technology kama Hdr10 na Dolby vision kuongeza huo mng'ao wa picha.
Mwisho wa siku angalia matumizi yako, kama unaangalia tu TV za kina Azam, Dstv na Startimes sio lazima tv iwe 4k, tafuta tv ambayo ina upscale hizo content vizuri.
Kwanini 480p na siyo 1080p?Kuna tv zina 4k na ni nzuri ukiziona, ila hazina uwezo wa ku upscale picha zenye resolution ndogo (sd) kwenda 4k. Kwa matumizi yako tv hizi hazikufai.
Ukienda show room vyema tafuta ambayo inaonesha local chanell uangalie mwenyewe ubora ama nenda na flash yako yenye video ya 480p.
Sababu tv Za Tanzania nyingi ni sd, ukitoa Azam sport HD na tv chache nyengine za HD kina ITV, TBC, Chanell 10 na wengineo zina resolution ndogo, hivyo vyema kupima kwa 480P badala ya 1080P unless unatumia Dstv ama king'amuzi chenye Chanell za HD.Kwanini 480p na siyo 1080p?
Mambo Mazitto kabisa haya,, [emoji122]Sababu tv Za Tanzania nyingi ni sd, ukitoa Azam sport HD na tv chache nyengine za HD kina ITV, TBC, Chanell 10 na wengineo zina resolution ndogo, hivyo vyema kupima kwa 480P badala ya 1080P unless unatumia Dstv ama king'amuzi chenye Chanell za HD.
Itakuwa google hii maana hata haieleweki.Hiki ni chanzo kingine cha kuchanganyikiwa, kwa kuwa miongo kadhaa ya majadiliano ya TV yamezungumza kuhusu maazimio ya wima, na kisha ghafla tunazungumza kuhusu "TV za 4K," ambayo inahusu azimio la usawa. Usinilaumu, halikuwa wazo langu.
Ndiyo maana 1080p sio "1K." Ikiwa chochote, kama ilivyotajwa hapo juu, ni "2K" kwa mantiki sawa kwamba UHD TV ni 4K. Hiyo ilisema, watu wengi hawapigi simu 1080p 2K; wanaiita 1080p au Full HD.
Kwa njia, 1080i ni azimio sawa na 1080p, lakini hakuna TV ya kisasa ni 1080i. Hata hivyo, matangazo mengi ya HDTV, ikiwa ni pamoja na yale kutoka CBS na NBC, bado ni 1080i.
sasa wewe ndo unafanya tuchanganyikiwe zaidi kuhusu tvHiki ni chanzo kingine cha kuchanganyikiwa, kwa kuwa miongo kadhaa ya majadiliano ya TV yamezungumza kuhusu maazimio ya wima, na kisha ghafla tunazungumza kuhusu "TV za 4K," ambayo inahusu azimio la usawa. Usinilaumu, halikuwa wazo langu.
Ndiyo maana 1080p sio "1K." Ikiwa chochote, kama ilivyotajwa hapo juu, ni "2K" kwa mantiki sawa kwamba UHD TV ni 4K. Hiyo ilisema, watu wengi hawapigi simu 1080p 2K; wanaiita 1080p au Full HD.
Kwa njia, 1080i ni azimio sawa na 1080p, lakini hakuna TV ya kisasa ni 1080i. Hata hivyo, matangazo mengi ya HDTV, ikiwa ni pamoja na yale kutoka CBS na NBC, bado ni 1080i.
4K movies siku hizi chini ya 10GB sometime as little as 2GB inategemea na bitrate. Ukiwa na internet around 25mbps una stream 4K bila shida, sometime hadi 20mbps unastream kama kifaa chako kinasupport Av1 codecs.Content za 4K tatizo ni chache sana, ukidownload movi ya 4K (2160) inaweza kugonga 20GB au zaidi au utumie baadhi ya blueray disk, dtsv naamini walionyesha World Cup kwenye 4K ila sijui kama wana content nyingine za 4K, netflix kama unalipia premium pia kuna baadhi ya movie ni 4k ila data itakugharimu.
Natumia hisense inch 55 na dstv ila sjui kwann channel nying hazionesh clear yaniSababu tv Za Tanzania nyingi ni sd, ukitoa Azam sport HD na tv chache nyengine za HD kina ITV, TBC, Chanell 10 na wengineo zina resolution ndogo, hivyo vyema kupima kwa 480P badala ya 1080P unless unatumia Dstv ama king'amuzi chenye Chanell za HD.