Nini maana ya TV yenye 4K UHD

Nini maana ya TV yenye 4K UHD

Zamani nilikuwa naona hili neno kwenye tape za cassette sijui ni teknolojia ya kitu gani
Dolby ni kampuni kama unavyosema Apple ama Samsung, sema yenyewe imejikita kutengeneza technology za picha na sauti.

Mfano kwenye Simu ama vifaa vingine utaona kuna kitu kinaitwa Dolby Atmos, hii ni kwa ajili ya sauti ikiwepo speaker zinapiga vizuri zaidi.

Kuna hio Dolby vision kwa ajili ya picha, ikiwepo contrast inakuwa kubwa vitu vinavyong'aa vina Ng'aa zaidi na vilivyofifia vinafifia zaidi.
 
Ubarikiwe sana nimejifunza jambo muhimu hapa🙏🙏
 
Screenshot_20240309-215833_Chrome.jpg

Dolby Atmos kumbe ina deal na sauti.
 
Hapana,youtube nkiweka resoultion kubwa iko poa na flash ni poa tu kulingana na movie quality yenyew,a channel za dstv nyingi spati ile clear kabisa e.g MTV
Kwa kifurushi cha Shangwe dstv channel HD ni 17 ambazo ni
108 M-net movie 4
113 movie room
114 kix
128 wwe
136 discover family
152 africa magic epic
153 africa magic urban
160 maisha magic bongo
166 zee world
171 discover id
219 espn 2
220 super sport blits
224 super sport la liga
225 super sport football
228 super sport variety 3
301 cartoon network
405 Newroom africa
 
Mmmh basi ndo maana za local ziko blurry,bt kuna ka LG inch 24 mbona kanaonesha local channel clear tu kuliko hii hisense ya 55
 
Mmmh basi ndo maana za local ziko blurry,bt kuna ka LG inch 24 mbona kanaonesha local channel clear tu kuliko hii hisense ya 55
Kumbuka idadi ya pixels za picha yaani vile viboxi vidogo vinavyounda picha ni ile ile so screen ndogo pixels zinakuwa nyingi katika eneo dogo unapata pixel per inch kubwa picha inaonekana sharp, TV kubwa pixel zinabidi zipanuke zaidi pixel moja inabidi ichukue eneo kubwa zaidi ppi inakuwa imeshuka na picha inaonekana haijakolea ni kama ufungue picha kwenye simu kisha ufanye zoom mara ×20. Ndo maana screen kubwa bila HD source material haipendezi sana.

Zaidi ya hapo kuna mambo mengi sana yanaathiri "ubora" wa picha aina ya screen, software inayofanya processing ya hiyo video, settings etc.
 
Content za 4K tatizo ni chache sana, ukidownload movi ya 4K (2160) inaweza kugonga 20GB au zaidi au utumie baadhi ya blueray disk, dtsv naamini walionyesha World Cup kwenye 4K ila sijui kama wana content nyingine za 4K, netflix kama unalipia premium pia kuna baadhi ya movie ni 4k ila data itakugharimu.
Netflix ukiangalia movie ya 4k bando la 20 halitobii Kwa movie moja
 
Back
Top Bottom