under timer
JF-Expert Member
- Dec 25, 2021
- 389
- 595
Kweli kabisaUmekasilishwa na nini mkuu?
Huoni km ktokana na swali lake tumenufaika wengi kutokana na elimu waliyotoa wataalamu wenye utaalamu kukuzidi wewe na Google yako?
Lkn pia elewa kwamba tonatofautiana,mimi na baadhi ya wataalamu hapa huwa ninanufaika zaidi pale ninapo mpatia mtu maarifa juu ya jambo nililo na ujuzi nalo,kwao Chief Makwawa na wengineo hapa ni miongoni mwa watu wa aina hiyo.
acha kabisa kijana elimu ya jf ni kubwa huwezi linganisha na Google sie wenyewe tunasaka vitu uko tusipoelewa tunakuja humu, umu namo tusipoelewa tunawanyookea watu directKunagaida gani kuwa na simu ya 5G halafu huwezi kupata unachokitaka bila kumtegemea mtu mwingine, simu yako ya bei kali inakupa kila ukitakacho.
Mkuu nimepita eBay nimekutana na hiki kitu naomba Kwa uzoefu wako unishauri niichukue au niiache?
View attachment 2937018View attachment 2937019
Wajinga watauziwa, soma bei na specification zake utagundua kitu .Mkuu nimepita eBay nimekutana na hiki kitu naomba Kwa uzoefu wako unishauri niichukue au niiache?
View attachment 2937018View attachment 2937019
Kudownload movie weka option ya HD mara nyingi ni 2gb or 2.5gb haizidi hapo ukifanya hivyo utaweza angalia in quality movies,huko tunakoenda local channels nyingi either zitakufa or zitaachwa nyuma na technology kwakua streaming inaenda chukua hatamu majumbani sema Ttcl hawajachangamka wangeweza weka pamoja na umeme wakawa wanakula hela sambamba.
Awamu ya mama ni yakupongezana tu hakuna kufanya kazi