mnyikungu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2009
- 1,962
- 2,477
ha ha ha ha haaaaa...sio mzima wewe wa kupelekwa milembe kwa nguvu....
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmmh!!, unasema??
ha ha ha ha haaaaa...sio mzima wewe wa kupelekwa milembe kwa nguvu....
Mmmmmh!!, unasema??
Atiii....???!!!
Ok, sawa.Lipi? Mume ama mivuziiii
Atiii....???!!!
Ok, sawa.
Huyo aliyekuambia wewe ni mtoto naona alikuwa hajui hilo.
Alihitaji udadavuzi kidogo.
Ni kundi la muziki lilioimba wimbo wa Party Rock Anthem, lmao!
Sidhani kama atarudia tena kukuambia wewe ni mtoto.Na amepata hajapataaaa??
Ha ha ha. According to google translate tafsiri yake kiswahili kasheshe kweli kweli: Jaribu neno moja moja. LMFAO (laughing my fu.ck.ing ass off).
1. laugh= kicheko
2. my = yangu
3. f.u.**= kut**ba
4. Ass= punda
5. Off=mbali
Sasa twende kazi: laughing my f.u..*ing a.s.s off itakuwa mojawapo ya sentensi hizi:
Nacheka huku nikimt***a punda wangu mbali, nacheka punda wangu anat***ewa mbali,.....kwa vyovyote vile lazima unaongelea Punda na Kut*****a! Haya mambo ya kuiga iga wazungu haya shauri zenu! hahaha
Umeelewa mkuu?
Gimme a puff of whatever you are high on.Nasikia eti juma nature ndie alitunga huu wimbo wa rock party anthem!
I'm sexy And I know it
He is accusing me of being a child.
Habari za asubuhi wana JF..
Nimekuwa nikikutana na hili neno " LMFAO" mara kwa mara kwenye mitandao, nipeni darasa jamani. Nini maana yake!!?