Nini maana yake "LMFAO"

Nini maana yake "LMFAO"

jmali, wewe ni mmoja kati ya wana JF wachache "ninaowapa salute" kwa umakini wa arguments zao.
Naomba kwa heshima na taadhima nikusahihishe kuwa maana ya neno "ass" kama lilivyotumiwa kwenye sentensi husika sio punda. Wala maana ya neno "off" sio mbali.Na pia neno ---- sio ku t**mb kama ulivyotafsiri, kama ni hivyo, utafsiri vipi sentensi " get the ---- out of here?".

Najua. Ukirudia post yangu utaona nilianza na "according to google translate.".......sio tafsiri yangu mimi, ingawa hata kwa tafsiri ya kiswahili fasaha bado maneno haya yako hovyo.
 
Najua. Ukirudia post yangu utaona nilianza na "according to google translate.".......sio tafsiri yangu mimi, ingawa hata kwa tafsiri ya kiswahili fasaha bado maneno haya yako hovyo.
Kama ulikuwa unataka kuelezea tafsiri zaidi ya moja zilizopo kwenye sentensi hiyo, sawa.
 
Ha ha ha. According to google translate tafsiri yake kiswahili kasheshe kweli kweli: Jaribu neno moja moja. LMFAO (laughing my fu.ck.ing ass off).

1. laugh= kicheko
2. my = yangu
3. f.u.**= kut**ba
4. Ass= punda
5. Off=mbali

Sasa twende kazi: laughing my f.u..*ing a.s.s off itakuwa mojawapo ya sentensi hizi:

Nacheka huku nikimt***a punda wangu mbali, nacheka punda wangu anat***ewa mbali,.....kwa vyovyote vile lazima unaongelea Punda na Kut*****a! Haya mambo ya kuiga iga wazungu haya shauri zenu! hahaha

Hahhahahaha......

Kazi ipoo
 
Aaahhh....nimeelemika jamani

Na kucheka sana pia
 
Back
Top Bottom