Nini maana yake "LMFAO"

Ha ha ha. According to google translate tafsiri yake kiswahili kasheshe kweli kweli: Jaribu neno moja moja. LMFAO (laughing my fu.ck.ing ass off).

1. laugh= kicheko
2. my = yangu
3. f.u.**= kut**ba
4. Ass= punda
5. Off=mbali

Sasa twende kazi: laughing my f.u..*ing a.s.s off itakuwa mojawapo ya sentensi hizi:

Nacheka huku nikimt***a punda wangu mbali, nacheka punda wangu anat***ewa mbali,.....kwa vyovyote vile lazima unaongelea Punda na Kut*****a! Haya mambo ya kuiga iga wazungu haya shauri zenu! hahaha
 
jmali, wewe ni mmoja kati ya wana JF wachache "ninaowapa salute" kwa umakini wa arguments zao.
Naomba kwa heshima na taadhima nikusahihishe kuwa maana ya neno "ass" kama lilivyotumiwa kwenye sentensi husika sio punda. Wala maana ya neno "off" sio mbali.Na pia neno ---- sio ku t**mb kama ulivyotafsiri, kama ni hivyo, utafsiri vipi sentensi " get the ---- out of here?".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…