zaratustra
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 848
- 225
Great Thinkers, nimekuwa ni mpenzi (addicted?)i sana wa kutafuna chewing gum (bazoka) aina mbali mbali, mfano Big G, Bubblish, Batook, Special mint na kadhalika. Swali langu leo, je kuna madhara au faida yoyote katika kutafuna hizi chewing gum? Binafsi huwa natafuna kwa ajili ya kujifurahisha tu na zaidi kufanya kinywa changu kisitoe harufu mbaya!