Nini madhara na/au faida ya kutafuna CHEWING GUM?

Nini madhara na/au faida ya kutafuna CHEWING GUM?

zaratustra

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
848
Reaction score
225
Great Thinkers, nimekuwa ni mpenzi (addicted?)i sana wa kutafuna chewing gum (bazoka) aina mbali mbali, mfano Big G, Bubblish, Batook, Special mint na kadhalika. Swali langu leo, je kuna madhara au faida yoyote katika kutafuna hizi chewing gum? Binafsi huwa natafuna kwa ajili ya kujifurahisha tu na zaidi kufanya kinywa changu kisitoe harufu mbaya!
 
kama una vidonda vya tumbo wacha kbsa cz ina leta gesi kwa Tumbo
 
ushakua mkubwa unatafuna tafuna nini km mbuz?
sjui km kuna madhara bt acha maramoja ..na nkikuona tena unatafuna tafuna utantambua.....bt mara moja MOJA SI MBAYA BT NT ANY TYM T manake mijitu mingne mpk kansan inatafuna.....usitafune ehh mtotomzuri....!!!!!!!!!!!!
 
Sawa mrembo nitajitahidi! Ila mimi kanisanoi huwa sitafuni kabisaaaaaaaa, nitashindwa kuimba......si unajua mimi ni mwanakwaya!!!!??
 
Madhara au dhara ni kumeza hewa ambayo hugeuka kuwa gesi tumboni.
 
Mimi huwa inanisadia kupunguza stress. Nadhani hili swali tungemuuliza Sir Alex Ferguson ( sijui nimepatia) angeputa jibu zuri sana maana anatafuta chewing gun tangu mpira unaanza hadi unaisha.
 
Back
Top Bottom