Nini Madhara Ya Kufanya Mapenzi Mara Kwa Mara!


samahani sioni vizuri umeandika kilomita 27 au 7?
 
Mh?kumbe Hadi Kupata Busha?
Heeeee sasa wewe hujui yaani mpaka akiwa kwenye period unajipigia tu kwanini usilivae Busha na mirija kuziba?
Kwanza umri wako unaonesha unapenda sana huko ulikotokea na utakinai mapema sana
 
wewe oa wake wanne dini inaruhusu...kumuingilia akiw ktk cku zake c haki na u***nz....ukatil hiyo haina dawa mkuu ni maumbile tayar hayo
 

Sasa ukimwi umekujaje hapo wakati mwenzio kakuambia anamuomba mkeo tu?!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hivi mkuu, ni jinsia gani wanakufa mapema zaidi na ukimwi, me au ke?

Sasa ukimwi umekujaje hapo wakati mwenzio kakuambia anamuomba mkeo tu?!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 


ndugu Ng'wale, hata mimi haya mambo yananishangaza sana, sijui yanatoka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…