Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mkemia mkuu wa serikali ya Tanzania ni wa kuaminiwa?
bibie Kaunga Kuongeza Nguvu za kiume ni kuongeza StaminaHivi kuongeza nguvu za kiume huongeza raha ya tendo la ndoa, au husaidia kumridhisha mwenza? Samahani, nataka tu kuelewa.
duuuh,hiyo kali.imagine mtu wa mkoa ataweza kwelikufuata taratibu hizo? Mim nadhan tfda ndo wasimame imara ktk hili.Mkuu.@Bujibuji Hizo Dawa zinazo uzwa Mitaani nyingi kama hazijapimwa na kuthibitishwa na mkemia mkuu wa Serikali basi usiziamini kutumia nyingi Dawa hizo hazitibu Dawa za kuongeza nguvu ya kiume matokeo yake unaweza kutumia na ukazidisha matatizo yako badala ya kujitibu jaribu kununuwa kisha uipeleke kwa Mkemia mkuu aiangalie je ni kweli inatibu hayo maradhi aliyoyasema? Utapata majibu yake kwa huyo mkemia mkuu wa Serikali.
Nahitaji dawa ya.ashki