Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mitaani, kwenye mabaa dawa zinauzwa. Zinauzwa na wamasai, wachina, watu wa promosheni etc.
Dawa hizo ni za mizizi, vidonge na nyingine za maji.
Ni kweli zinaongeza nguvu za kiume lakini hatuambiwi madhara yake.
Leo naomba tusaidiane kuyaainisha madhara yatokanayo na matumizi holela ya madawa ya kuongeza nguvu za kiume.