Nini madhara ya kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume?

Nini madhara ya kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Mitaani, kwenye mabaa dawa zinauzwa. Zinauzwa na wamasai, wachina, watu wa promosheni etc.
Dawa hizo ni za mizizi, vidonge na nyingine za maji.
Ni kweli zinaongeza nguvu za kiume lakini hatuambiwi madhara yake.
Leo naomba tusaidiane kuyaainisha madhara yatokanayo na matumizi holela ya madawa ya kuongeza nguvu za kiume.
 
Mkuu.@Bujibuji Hizo Dawa zinazo uzwa Mitaani nyingi kama hazijapimwa na kuthibitishwa na mkemia mkuu wa Serikali basi usiziamini kutumia nyingi Dawa hizo hazitibu Dawa za kuongeza nguvu ya kiume matokeo yake unaweza kutumia na ukazidisha matatizo yako badala ya kujitibu jaribu kununuwa kisha uipeleke kwa Mkemia mkuu aiangalie je ni kweli inatibu hayo maradhi aliyoyasema? Utapata majibu yake kwa huyo mkemia mkuu wa Serikali.
 
It is obvious kwamba dawa yoyote hata iliyopitishwa na Mkemia Mkuu ina madhara mwilini. Kwa hizo zinazouzwa mitaani kama katanga ndiyo usiseme kabisa. Ndiyo maana wengine kwa kuhofia kupofeza uanaume wetu, tumeamua kuendelea kutulia na nguvu zetu za asili na kuziimarisha kwa kutumia a balanced and natural diety.
 
Hivi kuongeza nguvu za kiume huongeza raha ya tendo la ndoa, au husaidia kumridhisha mwenza? Samahani, nataka tu kuelewa.
 
Hivi kuongeza nguvu za kiume huongeza raha ya tendo la ndoa, au husaidia kumridhisha mwenza? Samahani, nataka tu kuelewa.
bibie Kaunga Kuongeza Nguvu za kiume ni kuongeza Stamina

unapokuwa uwanjani ili uweze kumfikisha mpenzi wako Kilelelni sio wewe dume ukimaliza kigoli cha kwanza huwezi tena kurudia mpira uwanjani hiyo itamfanya mpenzi wako wa kike akudharau ukiweza wewe dume kushinda goli moja wakati

golikipa mwanamke nae hajapiga penalti nae anatakiwa apate goli moja ili muwe sawasawa kimashindano hilo ndilo

inaitwa Dawa ya kuongeza nguvu ya kufanya tendo la ngono wengi wao wanaume wakipiga goli moja kurudia tena inakuwa ni kasheheshe mpaka wamuone MziziMkavu awape dawa za kuongeza nguvu za kimue ndio wanaweza kupiga

hata magoli zaidi ya matatu. Ukitaka Dawa za kuongeza nguvu ya kiume wasiliana na mimi Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Last edited by a moderator:
Nipe jina la hiyo dawa mkuu, nikusaidie kupeleka kwa mwanachemia kwa uchunguzi zaidi.
 
Kwan hayo magol yanatakiwa kua mangap mana naona na ngono nayo imekua panado 2x3 kw cku unawezaje kushindana na sehem uliotokea kuen makin vijana kumbuken kupata ukimwa ni kaz. Ni mtazamo tu
 
Madahara yapo mkuu jamaa moja alikunywa ili akamuonyeshe shughuli dada mmoja tatizo lililotokea baada ya kuinywa mzigo uliendelea kutuna mwanzo alifikiri mambo mazuri ikaendelea kuvimba mpaka akaanza kulia kwa maumivu alipelekwa hosp.mzigo unazidi kutuna..hatari hiyo mikitu.

....Dawa zingine zinapandisha pressure wakati wa kumaliza unaweza kata roho kama una p.
 
Mkuu.@Bujibuji Hizo Dawa zinazo uzwa Mitaani nyingi kama hazijapimwa na kuthibitishwa na mkemia mkuu wa Serikali basi usiziamini kutumia nyingi Dawa hizo hazitibu Dawa za kuongeza nguvu ya kiume matokeo yake unaweza kutumia na ukazidisha matatizo yako badala ya kujitibu jaribu kununuwa kisha uipeleke kwa Mkemia mkuu aiangalie je ni kweli inatibu hayo maradhi aliyoyasema? Utapata majibu yake kwa huyo mkemia mkuu wa Serikali.
duuuh,hiyo kali.imagine mtu wa mkoa ataweza kwelikufuata taratibu hizo? Mim nadhan tfda ndo wasimame imara ktk hili.
 
Baada ya muda kugegeda kwa nguvu ya asili itakuwa kwishinei mpaka uwe unaunganisha terminals!
 
Attachments

  • 1395383566668.jpg
    1395383566668.jpg
    61.4 KB · Views: 273
Back
Top Bottom