Sasa we jamaa... kama ni kawaida yako kuweka Neutral... na motokaa yako haijawahi kupata madhara, ni kitu gani hasa kilichokuwasha mpk ukaanzisha thread?Wakuu,mim nikisafir kwenda mkoa hii ndo tabia yangu,kwamba nibanie mafuta..lakin nmeskia kwamba ukifanya hiv unaharib gearbox.
Naomba anaejua anithibitishie hili
Well,the iron steel has tightened so hard=vyuma vmekaza sana
Nimecheka sana kama hajakuelewa basi ni mbishiUlishawahi kuendesha baiskeli?
Ukichanga pedali kisha ukaacha kuchanga (Free Wheel)
Ni madhara Gani yanatokea?
Neutral-Free
Ukiweka N hutakiwi kukanyaga Mafuta,ukikanyaga Mafuta utapata taabu sana.Nimewahi kuweka neutral N bila kujua gari ikazima.
Ni hatari unaweza ukapinduka, gari inapokuwa kwenye mteremko inahitaji uzito ili uweze kuidhibiti na uzito huo hutokana na gia kubwa namba mbili au moja, kuondoa gia gurudumu zinaongeza mzunguko na kunaweza kusababisha ajali.Wakuu,mim nikisafir kwenda mkoa hii ndo tabia yangu,kwamba nibanie mafuta..lakin nmeskia kwamba ukifanya hiv unaharib gearbox.
Naomba anaejua anithibitishie hili
Well,the iron steel has tightened so hard=vyuma vmekaza sana
Ahaa! Nimeelewa mkuu, nilichanganyikiwa siku hiyo ukizingatia nilikuwa porini na giza linaingia.Ukiweka N hutakiwi kukanyaga Mafuta,ukikanyaga Mafuta utapata taabu sana.
Kweli mkuu nihatari sanaNi hatari unaweza ukapinduka, gari inapokuwa kwenye mteremko inahitaji uzito ili uweze kuidhibiti na uzito huo hutokana na gia kubwa namba mbili au moja, kuondoa gia gurudumu zinaongeza mzunguko na kunaweza kusababisha ajali.
Aisee mwizi atabaki kuwa juu tusidhani kama ina madhara coz ata sisi wa kucheza na rungu ya gia huwa tunaweka free ili kumuibia bosi mafuta kama toka kituo A mpk B anakupa Lita 50 ww una tia Lita zote 50 unaanza balance Kwa free nyingi mpk unabaki kama na Lita 10
Hii jib ndo nilikua nalitaka,daah nashkuru kiongozHuwa sielewi logic ya kuweka FREE wakati injin inawaka kwani injin inawaka na maji...pili madhara yake unaua meno ya gear box shaft au needle bearing iliyopo kwenye fylwheel au kwenye automatic inakuwa kwenye toque convecter sababu inapokuwa free ukaachia na mafuta engine inarud kwenye silencer ila gear box inakuwa speed unapounganisha gear kunakuwa hakuna ratio ya mwendo unayotakiwa kati ya engine na gearbox kwa wale waliowahi kufanya change down wanajua ninachokisema ila hili madhara yanakula pole pole na kuna siku litakubumia...ili usiharibu hakikisha unazoefu na gari ujue RPM ikiwa ngapi uingize gear gan ili kuwrka ratio sawa ila kwa auto matic unaitesa zaid gearbox kuliko engine.!
Pole chief.Inabid uwe na kumbukumbu sana,ukisahau ukakanyaga ni balaaAhaa! Nimeelewa mkuu, nilichanganyikiwa siku hiyo ukizingatia nilikuwa porini na giza linaingia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu acha kuchekeshaNimewahi kuweka neutral N bila kujua gari ikazima.
Nilipata shida sana siku hiyo mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu acha kuchekesha