Nini madhara ya kuweka "N" wakati gari inatembea?

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Wakuu,mim nikisafir kwenda mkoa hii ndo tabia yangu,kwamba nibanie mafuta..lakin nmeskia kwamba ukifanya hiv unaharib gearbox. wengi hufanya hiv kwenye miteremko

Naomba anaejua anithibitishie hili

Well,the iron steel has tightened so hard=vyuma vmekaza sana
 
Wakuu,mim nikisafir kwenda mkoa hii ndo tabia yangu,kwamba nibanie mafuta..lakin nmeskia kwamba ukifanya hiv unaharib gearbox.

Sasa we jamaa... kama ni kawaida yako kuweka Neutral... na motokaa yako haijawahi kupata madhara, ni kitu gani hasa kilichokuwasha mpk ukaanzisha thread?

Piga gia baba. Ikiharibika ndo uje utuulize mafundi
 
Wakuu,mim nikisafir kwenda mkoa hii ndo tabia yangu,kwamba nibanie mafuta..lakin nmeskia kwamba ukifanya hiv unaharib gearbox.

Naomba anaejua anithibitishie hili

Well,the iron steel has tightened so hard=vyuma vmekaza sana
Ni hatari unaweza ukapinduka, gari inapokuwa kwenye mteremko inahitaji uzito ili uweze kuidhibiti na uzito huo hutokana na gia kubwa namba mbili au moja, kuondoa gia gurudumu zinaongeza mzunguko na kunaweza kusababisha ajali.
 
Huwa sielewi logic ya kuweka FREE wakati injin inawaka kwani injin inawaka na maji...pili madhara yake unaua meno ya gear box shaft au needle bearing iliyopo kwenye fylwheel au kwenye automatic inakuwa kwenye toque convecter sababu inapokuwa free ukaachia na mafuta engine inarud kwenye silencer ila gear box inakuwa speed unapounganisha gear kunakuwa hakuna ratio ya mwendo unayotakiwa kati ya engine na gearbox kwa wale waliowahi kufanya change down wanajua ninachokisema ila hili madhara yanakula pole pole na kuna siku litakubumia...ili usiharibu hakikisha unazoefu na gari ujue RPM ikiwa ngapi uingize gear gan ili kuwrka ratio sawa ila kwa auto matic unaitesa zaid gearbox kuliko engine.!
 
Kweli mkuu nihatari sana
 
sidhani kama ina madhara coz ata sisi wa kucheza na rungu ya gia huwa tunaweka free ili kumuibia bosi mafuta kama toka kituo A mpk B anakupa Lita 50 ww una tia Lita zote 50 unaanza balance Kwa free nyingi mpk unabaki kama na Lita 10
Aisee mwizi atabaki kuwa juu tu
 
Huwa sielewi logic ya kuweka FREE wakati injin inawaka kwani injin inawaka na maji...pili madhara yake unaua meno ya gear box shaft au needle bearing iliyopo kwenye fylwheel au kwenye automatic inakuwa kwenye toque convecter sababu inapokuwa free ukaachia na mafuta engine inarud kwenye silencer ila gear box inakuwa speed unapounganisha gear kunakuwa hakuna ratio ya mwendo unayotakiwa kati ya engine na gearbox kwa wale waliowahi kufanya change down wanajua ninachokisema ila hili madhara yanakula pole pole na kuna siku litakubumia...ili usiharibu hakikisha unazoefu na gari ujue RPM ikiwa ngapi uingize gear gan ili kuwrka ratio sawa ila kwa auto matic unaitesa zaid gearbox kuliko engine.!
Hii jib ndo nilikua nalitaka,daah nashkuru kiongoz
 
Kuendeshea N kwenye mteremko kwa lugha ya wenyewe wanaita "coasting". Unapoendeshea N maana yake unaiondoa (disengage) engine kabisa kwenye control ya gari kitu ambacho sio salama sana.

Ikumbukwe kwamba engine ina sehemu muhimu sana linapokuja suala la kushika breki so unaitoa engine kwenye jukumu hilo na kulichukua wewe! Sidhani kama una utaalamu huo zaidi ya kukanyaga tu breki. Anyway, google maneno "car coasting" utapata millions of pages zinazungumzia issue hiyo - faida na hasara zake.
 
Back
Top Bottom