Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yawesekana gari yako silencer yake ilikua chini sana mkuu af we baada ya kutupia N ukakanyaga mafuta likazimaNilipata shida sana siku hiyo mkuu
Ni kweli nilikanyaga mafuta tena niliyakanyaga hasa maana nilikuwa nje ya wakati, sikulijua hilo.Yawesekana gari yako silencer yake ilikua chini sana mkuu af we baada ya kutupia N ukakanyaga mafuta likazima
Hua ni atari sana maana mifumo yote inayotegemea engine kujiendesha husimama aswa break hua ngumu .
0 genious. .... ulichoandika sidhani km unakielewa # own fantasy .....Huwa sielewi logic ya kuweka FREE wakati injin inawaka kwani injin inawaka na maji...pili madhara yake unaua meno ya gear box shaft au needle bearing iliyopo kwenye fylwheel au kwenye automatic inakuwa kwenye toque convecter sababu inapokuwa free ukaachia na mafuta engine inarud kwenye silencer ila gear box inakuwa speed unapounganisha gear kunakuwa hakuna ratio ya mwendo unayotakiwa kati ya engine na gearbox kwa wale waliowahi kufanya change down wanajua ninachokisema ila hili madhara yanakula pole pole na kuna siku litakubumia...ili usiharibu hakikisha unazoefu na gari ujue RPM ikiwa ngapi uingize gear gan ili kuwrka ratio sawa ila kwa auto matic unaitesa zaid gearbox kuliko engine.!
Nakielewa mi ni fundi sio tu wa mtaan nimeingia darasan na gari ninazo deal nazo ni aud,vw,benz na jeep njoo garage kinondon nyuma ya bi afra nayajua magari kuliko unavyojijua.!0 genious. .... ulichoandika sidhani km unakielewa # own fantasy .....
asante kwa ufafanuzi wako mzuriHii jib ndo nilikua nalitaka,daah nashkuru kiongoz
Hii jib ndo nilikua nalitaka,daah nashkuru kiongoz