Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo nina tattoo na nimechangia damu.Hata kitabibu mtu mwenye tattoo mwilini haruhusiwi kuchangia damu kwa mgonjwa.
mkuu we muulize dr. yeyote anayejua vizuri fani yake atakwambia, hiyo hairuhusiwi kwani kuna muda unatakiwa upite kama miezi 6,toka umeweka tattoo ndio unaweza ruhusiwa kuchangia damu, sasa nani atakuwa na uhakika kuwa miezi hiyo imepita? zaidi yako mwenyewe ndio maana kwa tahadhari inashauriwa usichangie damu. ila kwa Tz, sishangai sana, lolote lawezekana!! kama mtu mwenye group A, aliwekewa damu group B!! kuna nini. Mimi nimeongea kitu ambacho kipo kidunia, sasa kama Tz, halizangitiwa ni juu yetu. kwa maaelezo zaidi nenda google.Acha uongo nina tattoo na nimechangia damu.
hahahahah mwishowe hadi vipele na Chunusi pia watasema dini inakatazaMtatuambia na makovu yamekatazwa na vitabu vya dini
hahahahah mwishowe hadi vipele na Chunusi pia watasema dini inakataza
Jambo linalokatazwa na Mwenyezi Mungu lazima litakuwa na madhara kwa mfano kama kula nyama ya nguruwe au ulevi.
mkuu we muulize dr. yeyote anayejua vizuri fani yake atakwambia, hiyo hairuhusiwi kwani kuna muda unatakiwa upite kama miezi 6,toka umeweka tattoo ndio unaweza ruhusiwa kuchangia damu, sasa nani atakuwa na uhakika kuwa miezi hiyo imepita? zaidi yako mwenyewe ndio maana kwa tahadhari inashauriwa usichangie damu. ila kwa Tz, sishangai sana, lolote lawezekana!! kama mtu mwenye group A, aliwekewa damu group B!! kuna nini. Mimi nimeongea kitu ambacho kipo kidunia, sasa kama Tz, halizangitiwa ni juu yetu. kwa maaelezo zaidi nenda google.
vp kuhusu mabibi harus wa kiislam kujipaka hina nako c kujichora au???
Na ss tuliochanjwa utotoni inakuajeMsiikate miili yenu kwa ajili ya wafu wala kuchanja chale juu ya ngozi za miili yenu.Mimi ni Bwana (mambo ya walawi 19:28 ).