Nini Madhara yanayosababishwa na tattoo mwilini?

Acha uongo nina tattoo na nimechangia damu.
mkuu we muulize dr. yeyote anayejua vizuri fani yake atakwambia, hiyo hairuhusiwi kwani kuna muda unatakiwa upite kama miezi 6,toka umeweka tattoo ndio unaweza ruhusiwa kuchangia damu, sasa nani atakuwa na uhakika kuwa miezi hiyo imepita? zaidi yako mwenyewe ndio maana kwa tahadhari inashauriwa usichangie damu. ila kwa Tz, sishangai sana, lolote lawezekana!! kama mtu mwenye group A, aliwekewa damu group B!! kuna nini. Mimi nimeongea kitu ambacho kipo kidunia, sasa kama Tz, halizangitiwa ni juu yetu. kwa maaelezo zaidi nenda google.
 
hahahahah mwishowe hadi vipele na Chunusi pia watasema dini inakataza

Ni kwl mkuu watu wanaweka mambo ya kidini mbele sana, dini tumezileta cc wenyewe matendo yako ndo kila kitu dini haitakupeleka kokote. Me nina tattoo, na na gonga chairfire kama kawa ila Mungu ndo kila ki2 mambo ya dini nayaweka pemben
 
mkuu we muulize dr. yeyote anayejua vizuri fani yake atakwambia, hiyo hairuhusiwi kwani kuna muda unatakiwa upite kama miezi 6,toka umeweka tattoo ndio unaweza ruhusiwa kuchangia damu, sasa nani atakuwa na uhakika kuwa miezi hiyo imepita? zaidi yako mwenyewe ndio maana kwa tahadhari inashauriwa usichangie damu. ila kwa Tz, sishangai sana, lolote lawezekana!! kama mtu mwenye group A, aliwekewa damu group B!! kuna nini. Mimi nimeongea kitu ambacho kipo kidunia, sasa kama Tz, halizangitiwa ni juu yetu. kwa maaelezo zaidi nenda google.

ni kweli mtu mwenye tatoo haruhusiwi kuchangia damu,hata ronaldo anasema sababu za yeye kutochora tatoo ni ili aweze kuchangia damu
 
vp kuhusu mabibi harus wa kiislam kujipaka hina nako c kujichora au???

Hina ni mapambo kwa wanawake na haihusiani na kujichanja ngozi mpaka itoe damu,hina haina madhara kama tattoo

Hina hukaa kwa muda mfupi tu mwilini na sio kama tattoo ambayo ni permanent mark
 
Back
Top Bottom