Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam, huu uwepo upo wapi na kwa ridhaa ya nani kwa manufaa ya nani?Kwanza kabisa dhana ya maamuzi iko katika hali ya utambuzi, utambuzi upo katika uwepo( essence)
Kama ninakuelewa unasema Mungu ni sheria asilia. Kama nimekosea unirekebishe., hivyo uwepo wa mwanadam ni sheria asilia (law of nature) ambayo ni sawa na kusema ni Mungu (supreme being)
Huoni kama binadamu hakutendewa haki katika maamuzi ya uwepo wake?hivyo mwanadam hana uchaguzi wowote juu ya uwepo wake,
Kwa nini binadamu analazimishwa katika jambo ambalo hakushirikiswa? Huoni kilichofanyika ni ubabe hasa ikichukuliwa hakushirikiswa hata katika uamuzi wa yeye kuwepo katika mazingira aliyopo au umbo alilopo.pia asili imeweka ukomo wa uhuru wa mwanadam ambao humuweka katika maono ya utumwa, hata hivyo mwanadam akikiuka ukomo huu hujikuta katika matatizo.
Kwa hiyo unataka kusema, dhumuni la uwepo wa binadamu ni kumwabudu Mungu?Mungu alimuumba mwanadam ili kutimiza (siku sita ya saba akapumzika) utukufu wake, mwanadam yapaswa kumwabudu Mungu
Naam, huu uwepo upo wapi na kwa ridhaa ya nani kwa manufaa ya nani?
Kama ninakuelewa unasema Mungu ni sheria asilia. Kama nimekosea unirekebishe.
Kwa hiyo hii sheria asilia ipo kwa manufaa ya nani? Kama kwa binadamu, kwa nini binadamu hakushirikishwa katika uwepo/utungo wa hii sheria asilia
Thank you.mwanadamu kumuabudu mungu kuna faida gani kwa mungu..?
Mkuu tilburg1Ndugu MsemajiUkweli kupata majibu ya maswali yako ni ngumu sana, sababu ya kwanza ni kuwa huna kumbukumbu yoyote kama ulikuwa sehemu ukajikuta upo dunia katika umbo la kibinadamu bali umepata akili ukajikuta upo hivyo. Pia hayo mambo yote unayo hoji huku ya jua, bali ni baada ya kusimuliwa na hapo ndio ukajenga hayo maswali. Jaribu kufikiria kama ungezaliwa na kuwekwa duniani peke yako pengine usinge kuwa tofauti na wanyama, ungekisia tu hiki kitu kinaweza kunidhuru na kikinidhuru kita tokea nini sana sana maumivu. Ungejua kuwa pia kuna kifo? hatujui, au ukifa hurudi tena? hatujui. Sababu tunao ogapa kifo ni sisi tunao ishi, walio kufa hawajui hilo tena. Na kwa nini tunaogopa? Sababu tunajua ukifa hurudi tena. Nini kinaendelea ukifa, hapa ndio sasa tunapata habari za uwepo wa Mungu. Je tuamini kuwa Mungu yupo? hapo ndipo shida inakuja. Lakini kwa upande wako unaamini yupo, ndio maana unauliza kwa nini hukupata nafasi ya kuchagua uwe katika umbo gani? Nani huyo angekupa nafasi ya kuchagua? Kama yeye alikuchagulia basi anakusudi na wewe? Sawa na rais anapoteua mawaziri sababu hawapi muda wa kuchagua wizara, lakini kwa kuwa wanaamini wameteuliwa na mamlaka iliyo juu yao mara moja wanaukubali uteuzi huo na kuanza kuutumikia.
Naam, huu uwepo upo wapi na kwa ridhaa ya nani kwa manufaa ya nani?
Kama ninakuelewa unasema Mungu ni sheria asilia. Kama nimekosea unirekebishe.
Kwa hiyo hii sheria asilia ipo kwa manufaa ya nani? Kama kwa binadamu, kwa nini binadamu hakushirikishwa katika uwepo/utungo wa hii sheria asilia
Mkuu kiufupi uwepo wako utazame kama accident ( namaanisha hukuwa tayari kuwepo bila uwepo mwingine), uwepo wa Nguvu asilia/Mungu ndio uliweka uwezekano wa wewe kuwepo, hivyo wewe huwezi kushirikishwa kwa maana wewe ni matokeo tu, ni sawa na kuchukua 2+2=4, namba nne haina uhuru katika jumuiko la hizo namba kwani ni matokeo tu, hivyo uwepo wa hizo namba Ndiyo umeweka ulazima wa nne itokee hivyo:-Mkuu tilburg1
Kwanza nianze na mfano wako kuhusu uteuzi wa mawaziri. Rais ni kweli ana mamlaka au madaraka ya kuteuwa mawaziri lakini hawezi tu kuteuwa na kutangaza bila kuwajulisha. Wanaoteuliwa huwa wanajulishwa kama wanakubali au wanakataa kabla ya majina kutangazwa kwa wanancho wote.
Pili, maadam aliyeniumba alifahamu kuwa ananipa akili za kuweza kupambana na mazingira atakayonipa, nadhani ingekuwa vizuri kama ningeulizwa kama ninapenda niwepo kwenye mazingira hayo. Hii ni haki ya msingi ambayo ukiichunguza utagundua ndiyo ilitakiwa uwe msingi wa uwepo wa binadamu.
Huoni kama binadamu hakutendewa haki katika maamuzi ya uwepo wake?
Kwa nini binadamu analazimishwa katika jambo ambalo hakushirikiswa? Huoni kilichofanyika ni ubabe hasa ikichukuliwa hakushirikiswa hata katika uamuzi wa yeye kuwepo katika mazingira aliyopo au umbo alilopo.
Mkuu dhana ya kuhoji kwanini mwanadam hakushirikishwa katika kuumbwa kwake ni sawa jinsi ambavyo vitu(dutu) huungana na kutengeneza kitu kimoja (matter), hivyo kushiriki katika uumbwaji na maamuzi ilihali hajaumbwa haiwezekani, mfano wewe hapo umeundwa na vitu vikuu 3 yaani mwili (body), roho(spirit) na nafsi (soul) bila hivi vyote kamwe hautajitambua wala kuwa na ufaham wowote,
Uamzi wa kuviweka pamoja hivi vyote si shaka kuwa ni wa Mungu (supreme being), hivyo wewe ni mtumwa wake, na huu utumwa huonekana katika mawazo ya dhambi (evil & imperfections) hivyo wewe si mshiriki wa uumbwaji wako bali ni mshiriki wa uwepo wako.
Pia lengo la kuwepo wewe haliko katika uchaguzi wako (out of your choice), hivyo basi haustahili kushiriki katika uumbwaji wako.
nilitaka ku-quote comment za waliosema dhumuni ni kumuabudu Mungu na niwaulize,"kwa nini katuumba ili tumuabudu?" kumuabudu kwetu sisi yeye ana-achieve nini?.mwanadamu kumuabudu mungu kuna faida gani kwa mungu..?
mwanadamu kumuabudu mungu kuna faida gani kwa mungu..?
Mimi sitaki niwe msemaji wa maji, miti na pepo. Kama vina uwezo wa kuhoji vitahoji kwa sababu siwezi kuingilia viumbe vingine kwa kutumia mtazamo wangu kama binadamu.kabla ya kuuliza madhumuni ya uwepo wa binadamu,tujiulize kwanza nini
madhumuni na uwepo wa maji,miti na pepo zinazunguka dunia hii pande zote.
ntampata wapi..?Jaribu kumuuliza Mungu mwenyewe