Bennie 369
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 713
- 534
ufahamu wa kuchagua zuri au baya wamepewa na nani ?Binadamu wamepewa ufahamu wa hiyari achague zuri au baya ndomana mungu akashusha vitabu vyenye kubainisha baya na zuri. Na baada ya hapo peponi hakuna maombi