Binadamu wamepewa ufahamu wa hiyari achague zuri au baya ndomana mungu akashusha vitabu vyenye kubainisha baya na zuri. Na baada ya hapo peponi hakuna maombi
ni ibilisi tu ndiye anaehanikiza hisia kwamba mwanadamu hana dhumuni lolote katika dunia hii mawazo hayo ndiyo yanayomtaka mwanadamu ahalifu sheria Tukufu ya Mungu ambayo ndio dhumuni kuu hasa la binadamu hapa katika hili tufe .