Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

Daah mama yetu anakutana na vikwazo vingi sana vya mfumo dume; kuanzia imani, uje kwenye utamaduni kisha mazingira ya umasikini na opportunity kuwa siyo nyingi huku wanaotaka hizo fursa ni wengi so they have to fake their characters...Mungu mpe nguvu huyu mama, ni kwa kudra zako tu atafika alikopanga kufika
 
Anamajukumu ya kulea familia

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Hicho cheo cha First lady kiliibuka tu enzi za upigaji na hasa enzi za Kikwete, hakina uhalali wowote zaidi ya wanaokishabikia kuwa kama kupe tu. Mr afanye kazi zake halali amwache Chief Hangaya ongoze nchi.
 

First Lady ni mke mdogo ni vema ukalitambua hili kwanza
 
Kabisa....Una nyanyasa wanawake ki jinsia kwakua mifumo hii iliwekwa na wanaume kwa matumizi yao binafsi...Tunahitaji kuweka hili vizuri kuwa promote raia wetu wa jinsia ya kike
Nani kakuambia uzi unanyanyasa wanawake? Huko ni kujishtukia tu, maandiko matakatifu yalisema utenganifu huu kati ya mwanamke na mwanaume, hayakusema kuwa yalikuwa yanamdhalilisha mwanamke, hizi ni propaganda za kimagharibi.
 
Halafu Wazanzibar wana maneno ya kejeli kweli ,kuna siku nilikuwa kwenye chai maharage yao,kuna jamaa kama alilewa akaanza kutamba mle kwenye chai maharage na kusema mnanijua mimi ni nani, mzee mmoja wa makamo akamjibu wewe si ni manii tu ya babaako pumbavu, watu wote tukapigwa na butwaa na jamaa akawa mdogo kama pilitoni, hali ikarudi salama na tukaendelea na safari kwa raha mustarehe.
 
Nani atalea watoto n.k.
 
Ila hii nayo imekaaje sijui! Eti mwanaume umfuate mkeo kila anakoenda[emoji1787]
 
Bwana Hafidh Siyo Mtu Wa Mambo Mengi
Dini Haitaki Awe Anajilegeza
Ajitokeze ki vyakevyake basi, hata kutembelea watoto yatima na kutoa misaada kwa wenye uhitaji. Rasmi analo fungu lake.
 
Ajitokeze ki vyakevyake basi, hata kutembelea watoto yatima na kutoa misaada kwa wenye uhitaji. Rasmi analo fungu lake.
Kutembelea Vituo Ni Zabayanga Tu
Dini Ya Haki Haitaki Kujitangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…