Nini Majukumu ya Mume wa Rais (First Gentleman) Kiserikali?

Kwakuwa mke wa Rais Kikwete alijikita sana kusaidia wanawake.

Namshuri na huyu First Dady atukumbuke sisi vijana kwenye kuanzisha Saccos za kusaidia wanaume kupata mikopo.
 
kula bata tu na kupiga papuchi tu ya madam hakuna kingine NGO kwani yeye kiti maalum alaaah
 
Ila tukiangalia kwa jicho la tatu, ikulu ya Tanzania kwasasa si sehemu salama sana, intelligence ya Tz imeonyesha udhaifu mkubwa sana katika sakata la kuugua kwa aliyekuwa Rais. Nina Wasiwasi ndani ya USALAMA WA TAIFA kuna mapandikizi hatari sana.
Tatizo la vyombo vya ulinzi na hasa Tiss Ni kutojielewa. Hawajui tofauti Kati ya chama,serikali na nchi.Hawajui Kati ya cheo na mtu. Na kwa ujumla hawajui Kati ya maslahi ya mtu, chama, serikali na nchi. Kwa hili la ugonjwa wamejitakia wenyewe, rais kuumwa seriously siyo national security secret.
 
Jukumu lake ni moja tu, lileeee, nadhani ushaelewa.
 
Pia serikali imupunguzie majukumu Rais ili first gentleman wake afanye majukumu yake ya kawaida
 
Wewe unaokota MATAGA unawapa vyeo unategemea nini? si ndio wanaanza kulazimisha mtu kuongezewa miaka madarakani, mtu kapata mshtuko wa moyo kwa kulazimishiwa likazi ligumu
 
Kupiga pipe vizuri ili mke afanye majukumu yake ipasavyo
 
Kupiga miti tu hamna jingine.
 
KOMAA GENTLEMAN WETU NA WW UANZISHE BANK YA MAENDELEO YA KINA BABA...🙃
 
Kwanini hatarishi?
Mambo mengi mkuu yametiliwa maanani..
Mfano kuna kujiunguza kwa bahati mbaya au inaweza tokea wakati anapika akalipukiwa na gesi..nk..... kuepuka hayo yote na kwa kuzingatia uzito wa nafasi aliyonayo wakaona ni bora asifanye kabisa hizo shughuli
 
Umeua mkuu
 
Actually tunahitaji hata kumjua ni nani. Kama vile tunavyowajua Mama Maria Nyerere, Mama Sitti Mwinyi, Mama Anna Mkapa, Mama Salma Kikwete, Mama Janet Magufuli.
Nae sasa ni Baba Samia au Baba Ameir?
 
Ila tukiangalia kwa jicho la tatu, ikulu ya Tanzania kwasasa si sehemu salama sana, intelligence ya Tz imeonyesha udhaifu mkubwa sana katika sakata la kuugua kwa aliyekuwa Rais. Nina Wasiwasi ndani ya USALAMA WA TAIFA kuna mapandikizi hatari sana.
Hilo liko wazi kabisa,na ni jambo la kushughulikiwa haraka
 
Huyu jamaa asikubali kupewa ulinzi, sio kwa usalama wake bali ni kumzuia asipige miti ya kigeni.
 
ya mungu mengi..Vipi endapo first daddy akatangulia mbele ya muumba..je,Mkewe atawajibika kukaa eda au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…