Nini mantiki ya Dkt. Magufuli kuikumbatia sera ya ubaguzi wa kimaendeleo?

Nini mantiki ya Dkt. Magufuli kuikumbatia sera ya ubaguzi wa kimaendeleo?

Salamu wadau.

Akiwa tunduma , mgombea kiti cha Uraisi mweshimimiwa Dr. JPM alionyesha bila hofu mbele ya wenye inchi kwamba yeye hubagua wapi apeleke miradi ya maendeleo na wapi asipeleke pamoja na kwamba yeye kama raisi analipwa mshahara na watanzania wote kupitia kodi zao. Wenye vyama na wasio na vyama.

Hii ilijidhihirisha alipokua pale Tunduma na kwahali ya kushangaza kuna sauti chache za wana CCM zilisikika zikishangilia.

Je kwaiyo kunaukweli kwamba serikali ya CCM inabagua namna ya upelekaji wa miradi ya maendeleo na hivyo kufanya sehemu zingine inchini Tanzania kuwa nyuma kimaendeleo ?

Na Je si kwamba ubaguzi huu ndo chanzo cha udumavu wa hii inchi kimaendeleo especially kama huu ubaguzi upo kwa miongo mingi ?
Kwaiyo Je kwanini huu usiwe mda muafaka wa kuachana na CCM na kuchagua chama mbadala kitakacholeta maendeleo kwa usawa kila pembe ya inchi bila ubaguzi wowote?

Huu ni mwaka wa uchaguzi . kwa matendo yao CCM wameonyeshwa wazi tena majukwani kwamba mkwamo wa hii inchi unatokana na nia isiyonjema ya CCM kubagua nani wapi maendeleo yapelekwe na wapi yasipelekwe.

Hivyo tukitaka kuitoa inchi yetu hapa ilipo tunahitaji kuondoa hii obstacle CCM vinginevyo tusahau
 
Back
Top Bottom