Nimejiuliza hadi nikakosa jawabu.
Ni kwamba wizara imefanya tathmini yake na kugundua kuwa Idadi ya wageni kutoka nje ya Bara la Afrika inatosha na kuamua kuweka jitihada za kuwatafuta wageni kutoka katika Bara Masikini kama Afrika?
View attachment 1695322
Wa-Thailand wakijitangaza kwenye Bara la Nje. (Visitors Market)
View attachment 1695323
Wanyarwanda wakijitangaza kwenye Bara la Nje (Visitors Market)
View attachment 1695324
Taifa la Malaysia likijitangaza kwenye bara la nje
(Visitors Market).
......................................................................................................................................................................
View attachment 1695327
Sasa hapa kwetu tumekuja na mpya hapo juu. Sisi tumeamua kuweka jitihada za kuwaita waafrika wenzetu yaani walio masikini kama sisi waje kuutembelea mlima wa Kilimanjaro.
Ni nani aliyeturoga Watanzania?