Nini Mantiki ya kuwatangazia Waafrika Waitembelee Tanzania?

Kama hujaelewa basi Jangwani wekeni Visit Chura ili wachina wajue kuwa TZ kuna hiyo bidhaa ya kitoweo na mantiki itapatikana...Inatosha Mkuu
 
Wewe peke yako ndio umelogwa husitujumuishe watanzania wote. Wewe ni mbumbumbu kabisa. Hata kama utalii unatangazwa ndani ya Afrika na tunawatangazia maskini wenzetu ila kamwe idadi ya watalii hawawezi kupungua kwa sababu ya tangazo hilo ila kuna uwezekano wa idadi ya watalii kuongezeka hata kama ni 0.1%.
 
Nimejiuliza hadi nikakosa jawabu.

Ni kwamba wizara imefanya tathmini yake na kugundua kuwa Idadi ya wageni kutoka nje ya Bara la Afrika inatosha na kuamua kuweka jitihada za kuwatafuta wageni kutoka katika Bara Masikini kama Afrika?

View attachment 1695322

Wa-Thailand wakijitangaza kwenye Bara la Nje. (Visitors Market)
View attachment 1695323

Wanyarwanda wakijitangaza kwenye Bara la Nje (Visitors Market)
View attachment 1695324
Taifa la Malaysia likijitangaza kwenye bara la nje (Visitors Market).

......................................................................................................................................................................

View attachment 1695327

Sasa hapa kwetu tumekuja na mpya hapo juu. Sisi tumeamua kuweka jitihada za kuwaita waafrika wenzetu yaani walio masikini kama sisi waje kuutembelea mlima wa Kilimanjaro.

Ni nani aliyeturoga Watanzania?
Mkuu hakuna aliyekuroga zaidi ya fikra zako mwenyewe.
Ligi ya caf inaonekana kote duniani.kuna tatizo gani kuitangaza Tanzania kupitia kombe la Africa?

Punguza ushabiki na unazi uchawa.
 
Masikini ni wewe... Uliza tanapa na matour wakwambie idadi ya watalii wa afrika wanaoingia beach, ngorongoro, serengeti, manyara siku hizi. Neno visit halimaanishi utalii tu humo kuna mambo ya uwekezaji , biashara, tafiti, elimu nk hata rwanda lengo la kujitangaza ni kuvutia uwekezaji zaidi kuliko utalii na sasa hivi ni moja kati ya nchi yenye mazingira mazuri sana ya uwekezaji kwa afrika
 
Luc alikuwa sahihi kabisa kuwafananisha na nyani,mnachoweza ni kuzomea zomea tu
FB_IMG_1598022191549.jpg
 
Nimejiuliza hadi nikakosa jawabu.

Ni kwamba wizara imefanya tathmini yake na kugundua kuwa Idadi ya wageni kutoka nje ya Bara la Afrika inatosha na kuamua kuweka jitihada za kuwatafuta wageni kutoka katika Bara Masikini kama Afrika?

View attachment 1695322

Wa-Thailand wakijitangaza kwenye Bara la Nje. (Visitors Market)
View attachment 1695323

Wanyarwanda wakijitangaza kwenye Bara la Nje (Visitors Market)
View attachment 1695324
Taifa la Malaysia likijitangaza kwenye bara la nje (Visitors Market).

......................................................................................................................................................................

View attachment 1695327

Sasa hapa kwetu tumekuja na mpya hapo juu. Sisi tumeamua kuweka jitihada za kuwaita waafrika wenzetu yaani walio masikini kama sisi waje kuutembelea mlima wa Kilimanjaro.

Ni nani aliyeturoga Watanzania?
Tuwe tunafikiria nje ya Box. Haya mashindano yanaangalia na watu almost dunia nzima wakitafuta wachezaji. Wewe kwa akili yako ulidhani wanaangalia waafrika tu?mnatafuta cha kukosa mwishoni mnapata cha hovyo tu ionekane mnapinga. Mashindano yanaoneshwa na Channels nyingi Duniani zitaona huko na hbr kusambaa. Litle is better than nothing. Hili nalo linakutesaje sasa? Kwa nini uteseke?
 
Kama vp nenda mahakamani.......achen utopolo nyie vyura fc
 
Nimejiuliza hadi nikakosa jawabu.

Ni kwamba wizara imefanya tathmini yake na kugundua kuwa Idadi ya wageni kutoka nje ya Bara la Afrika inatosha na kuamua kuweka jitihada za kuwatafuta wageni kutoka katika Bara Masikini kama Afrika?

View attachment 1695322

Wa-Thailand wakijitangaza kwenye Bara la Nje. (Visitors Market)
View attachment 1695323

Wanyarwanda wakijitangaza kwenye Bara la Nje (Visitors Market)
View attachment 1695324
Taifa la Malaysia likijitangaza kwenye bara la nje (Visitors Market).

......................................................................................................................................................................

View attachment 1695327

Sasa hapa kwetu tumekuja na mpya hapo juu. Sisi tumeamua kuweka jitihada za kuwaita waafrika wenzetu yaani walio masikini kama sisi waje kuutembelea mlima wa Kilimanjaro.

Ni nani aliyeturoga Watanzania?
Ni kweli kuwa sifa kuu ya Kuwa Mwanayanga ni Kuwa KILAZA?
 
NENDA CAS AU FIFA KASHTAKI.
 
Yanga mjifunze kutumia akili zenu jamani, aliyekwambia haya mashindano yanaangaliwa na Waafrika pekee nani?

Then, kwani mtu kutoka Algeria hawezi kuja kutalii Bongo?
Mkuu angalau na wewe umeliona hili,mwaka jana hapa ilizinduliwa kampeni kwa ajili kuhamasisha utalii wa ndani.
Simba walau wamepata nafasi ya kwenda kututangaza nchi kadhaa hapa Afrika lakini imekuwa nongwa.
 
Nimejiuliza hadi nikakosa jawabu.

Ni kwamba wizara imefanya tathmini yake na kugundua kuwa Idadi ya wageni kutoka nje ya Bara la Afrika inatosha na kuamua kuweka jitihada za kuwatafuta wageni kutoka katika Bara Masikini kama Afrika?

View attachment 1695322

Wa-Thailand wakijitangaza kwenye Bara la Nje. (Visitors Market)
View attachment 1695323

Wanyarwanda wakijitangaza kwenye Bara la Nje (Visitors Market)
View attachment 1695324
Taifa la Malaysia likijitangaza kwenye bara la nje (Visitors Market).

......................................................................................................................................................................

View attachment 1695327

Sasa hapa kwetu tumekuja na mpya hapo juu. Sisi tumeamua kuweka jitihada za kuwaita waafrika wenzetu yaani walio masikini kama sisi waje kuutembelea mlima wa Kilimanjaro.

Ni nani aliyeturoga Watanzania?
Aiseee baadhi ya watz akil ni sifur kabisa..hv ni huu ugali tunaokula ndo unatufanya tuwe hivi au? Yaan unaleta mada kama hii hapa?? Wageni wakitoka ndani ya bara la africa kuna shida?? Hv hujui kwamba wataliii wengi china ni wachina wenyewe?? Hii burungutu ni ya wapi hii??
 
Yaani Mautelembwe yanajiona ya maana kwenda kuwatangazia Wakongo waje Gombe
 
Yanga mjifunze kutumia akili zenu jamani, aliyekwambia haya mashindano yanaangaliwa na Waafrika pekee nani?

Then, kwani mtu kutoka Algeria hawezi kuja kutalii Bongo?
Ndio mwisho wake Wa kufikiri. Yale ni mashindano makubwa sana, yanaangaliwa na watu wengi Duniani. Kwa hiyo lengo ni kuwafikia wote watakao angalia match hizo.
 
Back
Top Bottom