Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Waje kujionea kiwanda cha siri cha kutengeneza virusi vya Corona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16]hapo tunawatangazia Uganda, Malawi etcKwamba misri hakuna sgr au fly overs, mbona uto mnawaza kimwakalebela Mwakalebela....
Mkuu hakuna aliyekuroga zaidi ya fikra zako mwenyewe.Nimejiuliza hadi nikakosa jawabu.
Ni kwamba wizara imefanya tathmini yake na kugundua kuwa Idadi ya wageni kutoka nje ya Bara la Afrika inatosha na kuamua kuweka jitihada za kuwatafuta wageni kutoka katika Bara Masikini kama Afrika?
View attachment 1695322
Wa-Thailand wakijitangaza kwenye Bara la Nje. (Visitors Market)
View attachment 1695323
Wanyarwanda wakijitangaza kwenye Bara la Nje (Visitors Market)
View attachment 1695324
Taifa la Malaysia likijitangaza kwenye bara la nje (Visitors Market).
......................................................................................................................................................................
View attachment 1695327
Sasa hapa kwetu tumekuja na mpya hapo juu. Sisi tumeamua kuweka jitihada za kuwaita waafrika wenzetu yaani walio masikini kama sisi waje kuutembelea mlima wa Kilimanjaro.
Ni nani aliyeturoga Watanzania?
Play Truth hurt by lizzoUbongo mdogo
Tuwe tunafikiria nje ya Box. Haya mashindano yanaangalia na watu almost dunia nzima wakitafuta wachezaji. Wewe kwa akili yako ulidhani wanaangalia waafrika tu?mnatafuta cha kukosa mwishoni mnapata cha hovyo tu ionekane mnapinga. Mashindano yanaoneshwa na Channels nyingi Duniani zitaona huko na hbr kusambaa. Litle is better than nothing. Hili nalo linakutesaje sasa? Kwa nini uteseke?Nimejiuliza hadi nikakosa jawabu.
Ni kwamba wizara imefanya tathmini yake na kugundua kuwa Idadi ya wageni kutoka nje ya Bara la Afrika inatosha na kuamua kuweka jitihada za kuwatafuta wageni kutoka katika Bara Masikini kama Afrika?
View attachment 1695322
Wa-Thailand wakijitangaza kwenye Bara la Nje. (Visitors Market)
View attachment 1695323
Wanyarwanda wakijitangaza kwenye Bara la Nje (Visitors Market)
View attachment 1695324
Taifa la Malaysia likijitangaza kwenye bara la nje (Visitors Market).
......................................................................................................................................................................
View attachment 1695327
Sasa hapa kwetu tumekuja na mpya hapo juu. Sisi tumeamua kuweka jitihada za kuwaita waafrika wenzetu yaani walio masikini kama sisi waje kuutembelea mlima wa Kilimanjaro.
Ni nani aliyeturoga Watanzania?
Ni kweli kuwa sifa kuu ya Kuwa Mwanayanga ni Kuwa KILAZA?Nimejiuliza hadi nikakosa jawabu.
Ni kwamba wizara imefanya tathmini yake na kugundua kuwa Idadi ya wageni kutoka nje ya Bara la Afrika inatosha na kuamua kuweka jitihada za kuwatafuta wageni kutoka katika Bara Masikini kama Afrika?
View attachment 1695322
Wa-Thailand wakijitangaza kwenye Bara la Nje. (Visitors Market)
View attachment 1695323
Wanyarwanda wakijitangaza kwenye Bara la Nje (Visitors Market)
View attachment 1695324
Taifa la Malaysia likijitangaza kwenye bara la nje (Visitors Market).
......................................................................................................................................................................
View attachment 1695327
Sasa hapa kwetu tumekuja na mpya hapo juu. Sisi tumeamua kuweka jitihada za kuwaita waafrika wenzetu yaani walio masikini kama sisi waje kuutembelea mlima wa Kilimanjaro.
Ni nani aliyeturoga Watanzania?
NENDA CAS AU FIFA KASHTAKI.Nimejiuliza hadi nikakosa jawabu.

Kidimbwi FC ni genge la vilazaNi kweli kuwa sifa kuu ya Kuwa Mwanayanga ni Kuwa KILAZA?
Mkuu angalau na wewe umeliona hili,mwaka jana hapa ilizinduliwa kampeni kwa ajili kuhamasisha utalii wa ndani.Yanga mjifunze kutumia akili zenu jamani, aliyekwambia haya mashindano yanaangaliwa na Waafrika pekee nani?
Then, kwani mtu kutoka Algeria hawezi kuja kutalii Bongo?
Aiseee baadhi ya watz akil ni sifur kabisa..hv ni huu ugali tunaokula ndo unatufanya tuwe hivi au? Yaan unaleta mada kama hii hapa?? Wageni wakitoka ndani ya bara la africa kuna shida?? Hv hujui kwamba wataliii wengi china ni wachina wenyewe?? Hii burungutu ni ya wapi hii??Nimejiuliza hadi nikakosa jawabu.
Ni kwamba wizara imefanya tathmini yake na kugundua kuwa Idadi ya wageni kutoka nje ya Bara la Afrika inatosha na kuamua kuweka jitihada za kuwatafuta wageni kutoka katika Bara Masikini kama Afrika?
View attachment 1695322
Wa-Thailand wakijitangaza kwenye Bara la Nje. (Visitors Market)
View attachment 1695323
Wanyarwanda wakijitangaza kwenye Bara la Nje (Visitors Market)
View attachment 1695324
Taifa la Malaysia likijitangaza kwenye bara la nje (Visitors Market).
......................................................................................................................................................................
View attachment 1695327
Sasa hapa kwetu tumekuja na mpya hapo juu. Sisi tumeamua kuweka jitihada za kuwaita waafrika wenzetu yaani walio masikini kama sisi waje kuutembelea mlima wa Kilimanjaro.
Ni nani aliyeturoga Watanzania?
Ndio mwisho wake Wa kufikiri. Yale ni mashindano makubwa sana, yanaangaliwa na watu wengi Duniani. Kwa hiyo lengo ni kuwafikia wote watakao angalia match hizo.Yanga mjifunze kutumia akili zenu jamani, aliyekwambia haya mashindano yanaangaliwa na Waafrika pekee nani?