Nini Mantiki ya kuwatangazia Waafrika Waitembelee Tanzania?

We ujamaa uwezo wako wa kufikiri uko chini sana. Haya mashindano yanaonekana Africa, ulaya, asia na America kupitia SuperSport, Cana+, Beinsport n.k. Eti waafrika wenzetu. Uwe unafanya utafiti kwanza kabla ya kuropoka.
 
Na wewe ndiyo wale wale kidi fc.
Ulisikia wapi kuwa watu weupe awafatilii haya mashindano..?
Al ahly anacheza na Bayern munchen wiki ijayo umeshajiuliza anacheza kwa kigezo gani kama siyo haya mashindano ya CCL.
Vist kidimbwi fc
 
We ujamaa uwezo wako wa kufikiri uko chini sana. Haya mashindano yanaonekana Africa, ulaya, asia na America kupitia SuperSport, Cana+, Beinsport n.k. Eti waafrika wenzetu. Uwe unafanya utafiti kwanza kabla ya kuropoka.

Unataka kuniambia kuwa wazungu wana acha kazi zao na kuwasha TV kuangalia Simba wakicheza na Wakongomani au Wasudani..

πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tanzania kutoitambua chanjo ya corona na kitumia kits za corona kupima mapapai na oil ni kivutio tossha cha corona
 
Yanga mjifunze kutumia akili zenu jamani, aliyekwambia haya mashindano yanaangaliwa na Waafrika pekee nani?

Then, kwani mtu kutoka Algeria hawezi kuja kutalii Bongo?
MKUU hii ndio shida ya wafuasi wa Young Africans hawatumii Akili kifikiri. Wanatumia ushabiki wa kijinga kwenye mambo ya msingi.

Ni sawa na useme kwa nini watu watangaze Biashara zao kwenye ligue ya EPL wakati ligi inachezwa England tu.

Wana sahau kwamba league ya EPL inatazamwa kupitia Runinga duniani kote.

Hapo ndipo tunayakumbuka Maneno Luc kale ka Neno kake πŸ‘‰ πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’
 
Yanga mjifunze kutumia akili zenu jamani, aliyekwambia haya mashindano yanaangaliwa na Waafrika pekee nani?

Then, kwani mtu kutoka Algeria hawezi kuja kutalii Bongo?

Kuna namna jamaa juu anasema kitu cha maana, ila unaIeta tu ujuaji
 
Ahahahaa
Tunataka watalii kutoka Kongo na Sudani
 
Namba zinasemaje
Watalii wengi wanaokuja tz ni kutoka ulaya na America pia kuna soko jipya la Asia.
Sasa impact ya wizara kutangaza utalii kupitia simba inayoshiriki mashindano ya caf, lengo ni lipi!!?
Je, nikuongeza watalii kutoka nchi za Africa kuitembelea Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna hoja imekuja hapa kwamba acl inafatiliwa hadi ulaya na arabuni je, ni kweli!!??
Naamini mwisho wa mkataba wizara itakuja na tathmini utalii umeongezeka vipi kupitia simba.
Wabilah twaufiq
 
Ulaya wanaangalia kwa ajili ya kufuatilia vipaji vipya utopolo nyie wehu
 
Akija Mnigeria aingizi fedha za kigeni?
 
Haya mashindano hata waafrika wenyewe hawayaangalii bali watu hutazama mechi ambazo timu kutoka nchi yao ikiwa inacheza. Mfano hapa bongo huwa tunaangalia mechi ambazo timu kutoka TZ ikicheza na timu ya nchi nyingine hatuangalii mfano Waydad Casablanca vs Esperance, zamalek vs TP Mazambe. Na nchi zingine nao wanaangalia timu yao vs timu ya nchi nyingine hawaangalii Simba vs as vita nk.
 
Una pepo la kukosoa ....la sivyo usinge andika Utopolo huu!
Aibu naona Mimi!.Hivi hatuhitaji Wakongo,Aljeria,Misri,Tunisia,Afrika Kusini,Madascar nk kuja Tanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…