Hiyo kipo ipo mkuu wanaipromote sana kwenye vyombo vya habar hasa BBC, Kenya tayar kuna baadhi ya wanaume wameshafanya tayari hii kituacha mambo hayo wewe,
hakuna kitu kama hicho!
Nakubaliana na ww 100% mkuuHuo ujinga, bora MTU utumie kondom! Njia ya hvo kwa mwanaume lazma kukatwa kwa baadhi ya mishipa! Angalien msije kuwa wa hvohvo siku zote! Mwanamke nafuu sio mm mwanaume, ikiwa lazma ntapgana bora nimwage damu lakn stafanya huo ujinga!
Hiyo counceling hata wanishikie mtutu sinta kubali labda tuwaachie huko huko kenyaKampeni ya kufungwa kufungwa kizazi kwa wanaume imezinduliwa Kenya na wanaume zaidi ya 30 walishiriki ktk zoezi hilo siku ya uzinduzi.
Na hapa Tanzania wanaume wanafunga uzazi lakini ni baada ya counselling sana kwani njia hautazaa tena.
HahahahaHiyo counceling hata wanishikie mtutu sinta kubali labda tuwaachie huko huko kenya
Vip Mkuu we upo tayar kwA hilo? Ila kama ni me tafadhaliHahahaha
Watu wenye maamuzi mazito wanafanya
Faida ya kufunga mwanaume ni kwamba unakuwa na vibinti vingi tu mpaka vya sekondari bila kuwa na wasiwasi wa kuvipa mimba
Kabla cjatoa maoni, hebu nijue kwanza sababu hasa inayokufanya usikubaliane na hiyo ya wanaune kufunha uzaziKufuatia suala la uzazi wa mpango, sasa hivi kuna njia ya wanaume nao kupanga uzazi kwa kufunga kizazi na kuto kuwa na uwezo wa kumpa ujauzito mwanamke. Unakuwa unaweza kufanya mapenzi tu pasipo uwezo wa kutia ujauzito.
Mimi kwa upande wangu sikubaliani na hicho kitu, labda kutumia njia nyingine za kupanga uzazi Na c kufunga kabisa.
Nini maoni yako?
Me hata sijakuelewa sijui umeandika kiruga, hebu andika kiswahili ili nikuelewe niweze kukujibKabla cjatoa maoni, hebu nijue kwanza sababu hasa inayokufanya usikubaliane na hiyo ya wanaune kufunha uzazi