Nini maoni yako katika suala la mwanaume kufunga kizazi?

Nini maoni yako katika suala la mwanaume kufunga kizazi?

wicklife

Senior Member
Joined
Nov 8, 2016
Posts
120
Reaction score
81
Kufuatia suala la uzazi wa mpango, sasa hivi kuna njia ya wanaume nao kupanga uzazi kwa kufunga kizazi na kuto kuwa na uwezo wa kumpa ujauzito mwanamke. Unakuwa unaweza kufanya mapenzi tu pasipo uwezo wa kutia ujauzito.
Mimi kwa upande wangu sikubaliani na hicho kitu, labda kutumia njia nyingine za kupanga uzazi Na c kufunga kabisa.

Nini maoni yako?
 
Bora MTU utumie kondom! Njia ya hvo kwa mwanaume lazma kukatwa kwa baadhi ya mishipa! Angalien msije kuwa wa hvohvo siku zote! Mwanamke nafuu sio mm mwanaume, ikiwa lazma ntapgana bora nimwage damu lakn stafanya huo ujinga!
 
Huo ujinga, bora MTU utumie kondom! Njia ya hvo kwa mwanaume lazma kukatwa kwa baadhi ya mishipa! Angalien msije kuwa wa hvohvo siku zote! Mwanamke nafuu sio mm mwanaume, ikiwa lazma ntapgana bora nimwage damu lakn stafanya huo ujinga!
Nakubaliana na ww 100% mkuu
 
Mwanaume hana kizazi, hivyo ni upuuzi! Kwanza mmeambiwa mfyatue, kulikoni?
 
Kampeni ya kufungwa kufungwa kizazi kwa wanaume imezinduliwa Kenya na wanaume zaidi ya 30 walishiriki ktk zoezi hilo siku ya uzinduzi.

Na hapa Tanzania wanaume wanafunga uzazi lakini ni baada ya counselling sana kwani njia hautazaa tena.
 
Hiyo counceling hata wanishikie mtutu sinta kubali labda tuwaachie huko huko kenya
 
Kwawale wanaoshindikiza wakezao kufunga kizazi hii itawafaa na wale wasiotaka kuzaa watoto kwa mama tofauti.
 
Binafsi hata waniwekee bunduki mdomon sikubali, mambo ya kumkosoa mungu kwa kukata baadhi ya mishipa ni upuuzi, wafanye kwa wazee miaka 70 maana wao hawana faida tena kwani hata wakizaa wataacha watoto bado primary! Sio umri wa 20-45 hapo hapana! Labda mwenye watoto 10........
 
sasakama tukifunga huwa ni milele iyo sio hatari kama nje itakubwa na janga na watu kufa wakabaki waliofungwa kizazi huoni hatari
 
Kufuatia suala la uzazi wa mpango, sasa hivi kuna njia ya wanaume nao kupanga uzazi kwa kufunga kizazi na kuto kuwa na uwezo wa kumpa ujauzito mwanamke. Unakuwa unaweza kufanya mapenzi tu pasipo uwezo wa kutia ujauzito.
Mimi kwa upande wangu sikubaliani na hicho kitu, labda kutumia njia nyingine za kupanga uzazi Na c kufunga kabisa.

Nini maoni yako?
Kabla cjatoa maoni, hebu nijue kwanza sababu hasa inayokufanya usikubaliane na hiyo ya wanaune kufunha uzazi
 
Back
Top Bottom