Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Yanga hadi dakika ya 90 na sekunde kadhaa wakulikuwa wanaongoza kwa goli 1. Kona waliyopata AS Bamako ndo ikatia mchanga kwenye pilau.
Je, unadhani goli hili lilitokana na uzembe,wachezaji kudhani tayari kazi imeisha,uchovu kwa wachezaji au afisiwe mfungaji? Mi binafsi naona kulikuwa na "poor marking" wakati kona inapigwa.
Hapo chini nimeweka picha kuonyesha hatua kwa hatua jinsi goli lilivyofungwa.
Karibuni kwa mjadala.