Nini maoni yako kuhusu goli walilofungwa Yanga vs As Bamako?

Nini maoni yako kuhusu goli walilofungwa Yanga vs As Bamako?

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Yanga hadi dakika ya 90 na sekunde kadhaa wakulikuwa wanaongoza kwa goli 1. Kona waliyopata AS Bamako ndo ikatia mchanga kwenye pilau.

Je, unadhani goli hili lilitokana na uzembe,wachezaji kudhani tayari kazi imeisha,uchovu kwa wachezaji au afisiwe mfungaji? Mi binafsi naona kulikuwa na "poor marking" wakati kona inapigwa.

Hapo chini nimeweka picha kuonyesha hatua kwa hatua jinsi goli lilivyofungwa.

Karibuni kwa mjadala.

20230227_060722.jpg
20230227_062919.jpg
20230227_062839.jpg
20230227_063237.jpg
20230227_063130.jpg
20230227_063551.jpg
 
Attachments

  • 20230227_061146.jpg
    20230227_061146.jpg
    46.6 KB · Views: 4
  • 20230227_060722.jpg
    20230227_060722.jpg
    51.1 KB · Views: 4
  • 20230227_061326.jpg
    20230227_061326.jpg
    48 KB · Views: 3
  • 20230227_061455.jpg
    20230227_061455.jpg
    61.2 KB · Views: 4
Yanga hadi dakika ya 90 na sekunde kadhaa wakulikuwa wanaongoza kwa goli 1. Kona waliyopata AS Bamako ndo ikatia mchanga kwenye pilau.

Je, unadhani goli hili lilitokana na uzembe,wachezaji kudhani tayari kazi imeisha,uchovu kwa wachezaji au afisiwe mfungaji? Mi binafsi naona kulikuwa na "poor marking" wakati kona inapigwa.

Hapo chini nimeweka picha kuonyesha hatua kwa hatua jinsi goli lilivyofungwa.

Karibuni kwa mjadala.

View attachment 2531246View attachment 2531248View attachment 2531249View attachment 2531250View attachment 2531251View attachment 2531252
Poor marking.
 
AKILI ZAO FUPI SANA.

Simba nae Alikuwa hivyo hivyo lakini akakua.

Baada ya kufanya Man to man Making wao wanaangalia mpira.

Akili za kitopolo kabisa yani
 
Kwa kweli mm sijui vzr sheria za mpira ila kwa lile goli la jana hapana Kwa kweli n kama kuna kitu kilikuwa hakipo sawa mpaka muda mpira unapigwa , ninacho jua n Yanga tuna goli 1 hao Bamako wana 0.
 
Kwa kweli mm sijui vzr sheria za mpira ila kwa lile goli la jana hapana Kwa kweli n kama kuna kitu kilikuwa hakipo sawa mpaka muda mpira unapigwa , ninacho jua n Yanga tuna goli 1 hao Bamako wana 0.
Hongera
 
Nabi kafeli kwenye kona. Jamaa wanaruka free eda! Hata uarabuni monastrine yanga alifungwa hivyo
 
Back
Top Bottom