Nini maoni yako kuhusu video assistant Referees?

Nini maoni yako kuhusu video assistant Referees?

The beauty of the game will soon be over
 
Unafunga goli, unasubiri maamuzi kwanza ndo unashangilia!
 
ni ongezeko la kipuuzi kabisa katika mchezo huu maridhawa.ladha ya mpira inaondoka,football now inasimama mara nyingi kama Bball tu wakati muda wake wa kuchezwa ni mrefu.Btw,mpira raha yake ile 'sintofahamu' bana!
 
Waachane kabisa na huo upuuzi, soka ni game la makosa
 
Back
Top Bottom