Pre GE2025 Nini mipango ya CHADEMA uchaguzi Serikali za Mitaa?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

maganjwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
2,800
Reaction score
2,339
Mimi nawasalimu wote humu ndani Imani yangu mko salama

Nauliza tu je CHADEMA wamejipangaje kushinda uchaguzi serikali za mitaaa? Muda unayoyoma na hakuna mabadiliko kwenye daftari ya wapiga kura wanashindaje uchaguzi?

Wameandaaa mfumo Gani Kwa Kila Kijiji CHADEMA kupata kura Tanzania.

Wagombea Kwa Kila Kijiji wameandaliwa? Au uchaguzi umefika watu mnakurupuka?

Nilikuwa nawaza tu maana CHADEMA ndiyo Chama kikuu cha Upinzani Tanzania
 
Kama Kila mkoa na wilaya zake chama inatakiwa iwafahamu hao watakaogombea na wajengwe kifikra na kifalsafa
 
Mimi nawasalimu wote humu ndani Imani yangu mko salama

Nauliza tu je CHADEMA wamejipangaje kushinda uchaguzi serikali za mitaaa? Muda unayoyoma na hakuna mabadiliko kwenye daftari ya wapiga kura wanashindaje uchaguzi?

Wameandaaa mfumo Gani Kwa Kila Kijiji CHADEMA kupata kura Tanzania.

Wagombea Kwa Kila Kijiji wameandaliwa? Au uchaguzi umefika watu mnakurupuka?

Nilikuwa nawaza tu maana CHADEMA ndiyo Chama kikuu cha Upinzani Tanzania
Pamoja na hayo wafahamu kwamba ccm inashawishi na kuwaomba mashabiki na wapenzi wao kujiandikisha
 
Kuna mtu alileta uzi hapa akasema chadema wanataka kuwakwapua Januari na Nape ili wajiunge huko kuongeza nguvu.
 
Pamoja na hayo wafahamu kwamba ccm inashawishi na kuwaomba mashabiki na wapenzi wao kujiandikisha
Wanashawishi tu kama hadaa, lakini hawategemei kura, bali wahesabu kura. Kushiriki uchaguzi ambao box ka kura sio linaloamua mshindi, ni wendawamu kama wendawazimu mwingine. Bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi, kwenda kupiga kura ni matumizi mabaya ya raslimali muda.
 
Usiondoke JF, tutarudi kufafanua
Erythrocyte hili ni la muhimu sana. Kuna hatari mbele inakuja. Kuna ushenzi mkubwa unakuja. Nenda kasome tweeter, Maria Sarungi na wengine wengi wamejaribu kuainisha vifungu vya kishenzi kabisa kwenye sheria za uchaguzi/kanuni. Kuna ushenzi mtupu. Vifungu vya mbinu za Nape. Kuna hatari kubwa inakuja.
Mfano wanasema msimamizi anaweza kubadirisha kituo cha kuhesabia kura (wametoa sababu za kijinga)....hapa hii ni hatari, goli la mkono. Nendeni mkalijadili na mlitolee tamko la kitaifa.

Kuingia kwenye uchaguzi na vifungu hivyo kama vilivyo hamtapata kiti hata kimoja. Be serious about that!
 
Katani kwangu Mimi na jimboni ukonga Mambo ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
K

Kweli kabisa Mimi sioni dalili yoyote ya cdm kuchukua hata kiti kimoja.

Na sioni harakati huku chini ya maandalizi ya uchaguzi.

Je cdm wako serious kweli au ni nini?
 
Katani kwangu Mimi na jimboni ukonga Mambo ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mkuu ni nani huyo? atakuwa bora kuliko wa sasa?
 
Mimi nawasalimu wote humu ndani Imani yangu mko salama

Nauliza tu je CHADEMA wamejipangaje kushinda uchaguzi serikali za mitaaa? Muda unayoyoma na hakuna mabadiliko kwenye daftari ya wapiga kura wanashindaje uchaguzi?

Wameandaaa mfumo Gani Kwa Kila Kijiji CHADEMA kupata kura Tanzania.

Wagombea Kwa Kila Kijiji wameandaliwa? Au uchaguzi umefika watu mnakurupuka?

Nilikuwa nawaza tu maana CHADEMA ndiyo Chama kikuu cha Upinzani Tanzania
Ccm muda huu wapo mtaa kwa mtaa wana hoji mienendo ya wenyeviti wa mitaa kipi wametekeleza kupitia ofisi za watendaji wa vijiji na kuja na suluhu. chadema wao wanaongelea kwenye vijiwe vya mabao then wakishindwa uchaguzi ccm wameiba upuuzi huu
 
Mimi nawasalimu wote humu ndani Imani yangu mko salama

Nauliza tu je CHADEMA wamejipangaje kushinda uchaguzi serikali za mitaaa? Muda unayoyoma na hakuna mabadiliko kwenye daftari ya wapiga kura wanashindaje uchaguzi?

Wameandaaa mfumo Gani Kwa Kila Kijiji CHADEMA kupata kura Tanzania.

Wagombea Kwa Kila Kijiji wameandaliwa? Au uchaguzi umefika watu mnakurupuka?

Nilikuwa nawaza tu maana CHADEMA ndiyo Chama kikuu cha Upinzani Tanzania
CHADEMA siyo chama cha siasa in the same sense ya chama cha siasa. Hawana nia ya kuchukua dola. Sasa watahangaika na nini?
 
Back
Top Bottom