Nini Msimamo wa CHADEMA katika mambo haya?

Tumain

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2009
Posts
3,154
Reaction score
71
Nimekua nikifuatilia maoni mbalimbali katika Forum hii na vyombo vya habari nikawa sijapata jibu halisi kuhusiana na msimamo wa chama cha CHADEMA katika mambo kadhaa yanayotokea katika taifa hili ambapo ningeomba wadau mnieleweshe:

1. Nini Kauli na Msimamo wa CHADEMA katika waraka uliotolewa na Kanisa Katoliki?
2. Nini Kauli na Msimamo wa CHADEMA katika waraka uliotolewa na Shura ya Maimamu?
3. Nini Maoni ya CHADEMA na Msimamo wao kuhusiana na Mahakama ya Kadhi Tanzania?
4. Mwisho ni nini msimamo wa CHADEMA katika dhana ya Tanzania kujiunga na OIC?

Wadau ningependa kupata ufafanuzi wa haya ili nijue
 
CHADEMA ninavyofahamu hawakurupuki kama CCM kwenye mambo kama haya. Mambo ya dini na kutaka kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya kiislam yataishia huko huko CCM kwa kina Mkuchika na Makamba.
 
Mwisho wa siku kama wangekua wao ndio walioko madarakani matatizo haya still yangekuwepo hivyo ujatoa jibu bali umekimbia swali.

Ni nini hasa sera za chadema kwa kweli?
 
Unataka kuongelea sera za chadema au unataka kuongelea namna ya kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya kiislam (Tanzanistan) kama ulivyo mpango wa kina Tumaini?
 
Dini si kitu ambacho nafuatilia bali kuna matatizo ya dini katika jamii haya nayo ni matatizo ambayo yanaitaji majibu je ni nini chadema inaona kuhusu mambo haya kwani Tanzania ina matatizo mengine nje ya ufisadi nini sera za chadema katika mambo mengine dont you think its about time mtu eleweshe mnamipango gani baada ya ufisadi.
 
Bado hujajibu swali langu. labda niligeuze kidogo --- sera zipi za chadema unazotaka hapa?
 
Bado unakimbia swali kabla sija kupeleka huko unapotaka kwenda utafika kama una muda mi ninao.

Swali kwanza jibu lililowekwa na muanzisha mada je chadema inaonaje kuhusu haya mambo yalio ulizwa either inaona siyo sawa kwa nini au ni sawa kwanini na hatua gani inazo kuhusu tatizo/maswala haya kwa sera za chadema.
 
Ukitumia muda kusoma yanayoandikwa hapa (assuming kuwa una muda wa kusoma) utasoma kilichoandikwa na baadhi ya wanachadema hapa kuwa wao hawatachanganya dini na siasa.

Ninavyofahamu mimi, sio kila jambo nchini (hasa la kipuuzi kama hili la kutaka kuwabagua watanzania kidini) linahitaji kutolewa msimamo na kila mtu hata wale wasiotaka kuhusika.

Next
 
China majuzi wametoka kupigana mapanga kwa dini serikali yao imekubali ili ignore dalili za mwanzo, nchi yetu moja ya test kubwa ya mwinyi ilikua ni wapuuzi walionza kuvunja mabucha ya wenzao kwa kile wanachokiamini wao.

Leo tuna maswali muhimu sana particulary haya mambo yalioulizwa utasemaje ni la kipuuzi. Kwani serikali ya sasa inadili nayo kwa namna moja au nyingine hivyo hata chadema ingekuwa ndio tawala still maswali haya yangekuwepo na baadhi ya waislamu still wangedai hayo mambo yao hapo. utasemaje huo ni upuuzi wakati unaweza leta mgogoro ktk jamii.
 
CHADEMA ninavyofahamu hawakurupuki kama CCM kwenye mambo kama haya. Mambo ya dini na kutaka kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya kiislam yataishia huko huko CCM kwa kina Mkuchika na Makamba.
Mkuu Mwafrika,what if CHADEMA wins power tomorrow, bado maswali haya manne watayakalia kimya? I beg to differ Mkuu, ukimya wa CHADEMA and indeed vyama vingine vya siasa nchini sio ujanja wala umakini wao bali ni typical mbinu ya vyama vyote vya siasa duniani,kamwe mwanasiasa huwa hapendi to be caught between a rock and a hard place, siku zote mwanasiasa atajaribu kulizunguka tatizo ili aendelee kuwa kipenzi cha wengi na adui wa wachache,ndugu yangu si unajua katika siasa za ushindani what matters is public opinion and ultimately kura na kukamata dola?

Si unaona David Cameron wa Conservative Party ya Uingereza anavyobanwa mbavu na wapiga kura atoe msimamo kuhusu sarafu ya Euro? Na Cameron hana njia lazima alonge tu maana kura za maoni zinaonyesha May mwakani anakamata dola, mtaani wanasema amebana weeeeee alipoona lango la No 10 Downing Street kaamua kuachia!

Mwafrika, usicheze na wanasiasa na ndo maana linapokuja suala la jukwaa mwanasiasa anaweza hata kumsuta mama yake aliyemzaa mradi tu apate kura,umesahau ya Sheikh Mtopea mwaka 1996 kwenye kampeni za Cisco na Mrema alivyomsulubu mpwawe Cisco kisa Mrema?
 
China majuzi wametoka kupigana mapanga kwa dini serikali yao imekubali ili ignore dalili za mwanzo, nchi yetu moja ya test kubwa ya mwinyi ilikua ni wapuuzi walionza kuvunja mabucha ya wenzao kwa kile wanachokiamini wao.

Hawa watu kiboko yao huwa ni vijana wa kazi toka ukonga (FFU).

Leo tuna maswali muhimu sana particulary haya mambo yalioulizwa utasemaje ni la kipuuzi. Kwani serikali ya sasa inadili nayo kwa namna moja au nyingine hivyo hata chadema ingekuwa ndio tawala still maswali haya yangekuwepo na baadhi ya waislamu still wangedai hayo mambo yao hapo. utasemaje huo ni upuuzi wakati unaweza leta mgogoro ktk jamii.

Haya maswali ni upuuzi na yanafaa kuongelewa kwenye vigenge vya bao na kahawa na wala sio kwenye ngazi ya taifa. Tanzania ina mambo mengi muhimu zaidi ya wapuuzi wachache wanaotaka kuigeuza nchii huwa kuwa ya kidini.
 
Mkuu Mwafrika,what if CHADEMA wins power tomorrow, bado maswali haya manne watayakalia kimya ? I beg to differ Mkuu,ukimya wa CHADEMA and indeed vyama vingine vya siasa nchini sio ujanja wala umakini wao bali ni typical mbinu ya vyama vyote vya siasa duniani, kamwe mwanasiasa huwa hapendi to be caught between a rock and a hard place, siku zote mwanasiasa atajaribu kulizunguka tatizo ili aendelee kuwa kipenzi cha wengi na adui wa wachache,ndugu yangu si unajua katika siasa za ushindani what matters is public opinion and ultimately kura na kukamata dola?

Hiyo inaweza kuwa kweli lakini sio kwenye suala la watu wasio na muda wa kuwasikiliza wenzao bali chuki zao binafsi zinazopita kiwango cha kawaida cha ubinadamu.

Hawa watu ni wapuuzi na wanatakiwa kufunguliwa selo maalumu na wala sio kupewa platform nchini.

Si unaona David Cameron wa Conservative Party ya Uingereza anavyobanwa mbavu na wapiga kura atoe msimamo kuhusu sarafu ya Euro? na Cameron hana njia lazima alonge tu maana kura za maoni zinaonyesha May mwakani anakamata dola,mtaani wanasema amebana weeeeee alipoona lango la No 10 Downing Street kaaamua kuachia!

Mwafrika, usicheze na wanasiasa na ndo maana linapokuja suala la jukwaa mwanasiasa anaweza hata kumsuta mama yake aliyemzaa mradi tu apate kura,umesahau ya Sheikh Mtopea mwaka 1996 kwenye kampeni za Cisco na Mrema alivyomsulubu mpwawe Cisco kisa Mrema?
Mkuu BIshanga,

Sidhani kama unataka kulinganisha ukubwa na umuhimu wa suala la Euro (ambalo linaweza kuwa na impact kubwa sana kwenye uchumi wa UK) na hili suala la kina Boko Haram wetu wa kibongo.
 
Mambo yote haya wameanzisha CCM na watu wake hivyo CHADEMA hakuna haja ya kujiingiza huko kwa malumbano yasio na msingi kwa Taifa letu hivyo kuna haja watu binafsi kuongea lakini sio watu wakuu katika chama husika
 
Chadema hawana msimamo wowote wa kichama katika hayo uliyoyataja... labda kama unataka misimamo ya baadhi ya viongozi na wanachama wake.
 
Mambo yote haya wameanzisha CCM na watu wake hivyo CHADEMA hakuna haja ya kujiingiza huko kwa malumbano yasio na msingi kwa Taifa letu hivyo kuna haja watu binafsi kuongea lakini sio watu wakuu katika chama husika

Yap, na kuna watu wanataka uchaguzi ujao uwe kati ya CCM (wakiwa upande wa waislam) Vs wakatoliki ambao watawakilishwa na yeyote yule (iwe chadema, nccr, tlp, masakula sakula, etc).
 
Hawa watu kiboko yao huwa ni vijana wa kazi toka ukonga (FFU).

Haya maswali ni upuuzi na yanafaa kuongelewa kwenye vigenge vya bao na kahawa na wala sio kwenye ngazi ya taifa. Tanzania ina mambo mengi muhimu zaidi ya wapuuzi wachache wanaotaka kuigeuza nchii huwa kuwa ya kidini.

Nadhani unaelewa kuna watu ambao haya mambo ya waraka sijui mahakama za kadhii ata kichwani mwao haya pandi.

Vile vile kuna watu ambao awa ambiliki kwa fikra hizi wengine ni members humu ndani. Labda swali limekuja baada ya mtoa mada kuona hivi chadema itawa saidia vipi wao kwenye jamii wanao ona umuhimu particularly kuhusu mahakama ya kadhi. Hawa watu hawata acha kuuliza ili swala leo au kesho amini nikikwambia leo kiongozi wa nchi wanamuona mwenzao. Kesho akija mwingine akilitupilia mbali ili ombi huweza kuleta mengine.

Hivyo Chadema kama cha kitaifa kina wajibu wakulinda amani yangu mie pia. Ambae leo hii naona kama serikali inadekeza haya mawazo hatari ya hawa wapuuzi pengine epuko la vurugu ndio chanzo cha kura yangu kwa Chadema. Na tumeshaona athari za mawazo hatari leo china imebidi kuongeza the presence of soldiers 'Xinjiang region' even after the storm. Kwani wanajua tension bado ipo hivyo haya ni mawazo hatari.

Kusema ni maongezi ya kijiweni ni kusema amna sera au ni uwoga wakuwaudhi wengine kitu ambacho CCM leo hii inafanya na matokeo yake ndio haya ya maswali jamaa anaetaka majibu.

Kama Tanzania aina dini ni bora chadema ianze kuwaeleza kabisa hawa jamaa wa dini waache haya mambo kwani at the moment they get the publicity na upuuzi wao ambao ni 'time bomb'.

Hivyo ni vyema wakatueleza wanaonaje kuuthu athari za dini katika political interference.
 
Mkuu Mwafrika,what if CHADEMA wins power tomorrow, bado maswali haya manne watayakalia kimya? I beg to differ Mkuu, ukimya wa CHADEMA and indeed vyama vingine vya siasa nchini sio ujanja wala umakini wao bali ni typical mbinu ya vyama vyote vya siasa duniani,kamwe mwanasiasa huwa hapendi to be caught between a rock and a hard place, siku zote mwanasiasa atajaribu kulizunguka tatizo ili aendelee kuwa kipenzi cha wengi na adui wa wachache,ndugu yangu si unajua katika siasa za ushindani what matters is public opinion and ultimately kura na kukamata dola?

Si unaona David Cameron wa Conservative Party ya Uingereza anavyobanwa mbavu na wapiga kura atoe msimamo kuhusu sarafu ya Euro? Na Cameron hana njia lazima alonge tu maana kura za maoni zinaonyesha May mwakani anakamata dola, mtaani wanasema amebana weeeeee alipoona lango la No 10 Downing Street kaamua kuachia!

Mwafrika, usicheze na wanasiasa na ndo maana linapokuja suala la jukwaa mwanasiasa anaweza hata kumsuta mama yake aliyemzaa mradi tu apate kura,umesahau ya Sheikh Mtopea mwaka 1996 kwenye kampeni za Cisco na Mrema alivyomsulubu mpwawe Cisco kisa Mrema?

mi nadhani CHADEMA wako makini na udini, hata kama wakichukua dola mwakani issue ni kuweka wazi kuwa serikali haina dini. Waislamu wakija na zao za kadhi n.k. ni kuwaambia ruksa anzisheni kadhi yenu lakini serikali haihusiki na muiendeshe wenyewe.
 
Nadhani unaelewa kuna watu ambao haya mambo ya waraka sijui mahakama za kadhii ata kichwani mwao haya pandi.

Vile vile kuna watu ambao awa ambiliki kwa fikra hizi wengine ni members humu ndani. Labda swali limekuja baada ya mtoa mada kuona hivi chadema itawa saidia vipi wao kwenye jamii wanao ona umuhimu particularly kuhusu mahakama ya kadhi. Hawa watu hawata acha kuuliza ili swala leo au kesho amini nikikwambia leo kiongozi wa nchi wanamuona mwenzao. Kesho akija mwingine akilitupilia mbali ili ombi huweza kuleta mengine.

Kutoambilika kwa watu hawa ni sababu moja inayofanya watu wenye kuona mbali wasisumbuke nao - kutoa majibu

Hivyo Chadema kama cha kitaifa kina wajibu wakulinda amani yangu mie pia. Ambae leo hii naona kama serikali inadekeza haya mawazo hatari ya hawa wapuuzi pengine epuko la vurugu ndio chanzo cha kura yangu kwa Chadema. Na tumeshaona athari za mawazo hatari leo china imebidi kuongeza the presence of soldiers 'Xinjiang region' even after the storm. Kwani wanajua tension bado ipo hivyo haya ni mawazo hatari.

Chadema kina wajibu wa kulinda amani lakini hakina wajibu wa kutoa majibu kwa kila swali la kipuuzi linalotolewa na watu ambao wameonyesha wazi kuwa hawaitakii mema Tanzania

Kusema ni maongezi ya kijiweni ni kusema amna sera au ni uwoga wakuwaudhi wengine kitu ambacho CCM leo hii inafanya na matokeo yake ndio haya ya maswali jamaa anaetaka majibu.

Kusema kuwa ni maongezi ya kijiweni mbona ni nafuu zaidi, chadema wangetaka kuwaudhi hawa watu, wangetumia lugha kali kama yangu - kuwaita hawa watu kwa vile walivyo - mujahidini.

Kama Tanzania aina dini ni bora chadema ianze kuwaeleza kabisa hawa jamaa wa dini waache haya mambo kwani at the moment they get the publicity na upuuzi wao ambao ni 'time bomb'.

Hivyo ni vyema wakatueleza wanaonaje kuuthu athari za dini katika political interference.

Chadema haina sababu ya kurudia kuwaambia watu ambao tayari hata wewe umesema kuwa hawaambiliki. Nakuhakikishia kuwa hawa watu hawamtishi yeyote na dawa yao inajulikana wazi - kipigo barabara toka kwa vijana wa ukonga
 
juma contena unatatizo gani??

sina matatizo yeyote nataka kujua security ya ndugu zangu iko wapi?

na kuona umoja wetu unarudi, usiniambie hilo si tatizo kama kuna wasomi humu ndani wanaweza kuleteana kashfa za kidini hili ni tatizo labda wengine mnaweza ona malumbano tu.

mi naona ni mgawanyiko ambao outsiders wanaweza kuutumia kwa advantage zao kama leo tunavyoona Iraq waislamu kwa waislamu walioishi kwa amani miaka yote leo wanapigana mabomu kwa same tacticks za kugawa sasa kwa nini tujigawe vinginevyo hayo maswali hapo juu ya singe ulizwa ukiniuliza mimi. Hayo maswali ni disrespect kwa sheria zetu, ambazo wengine wanaona wanahaki za kuzigeuza to suit their lifestyles.

Hivyo Chadema kama chama mbadala ni sharti kiwe ata na jibu ya kudili na pumba hizi au kuua mizozo hii ya hatari kwa jamii. Ni hilo tu Mkuu
 
Back
Top Bottom