Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wao ndio kina nani? na hao ''wewe'' wangekuwa suicide bombes sidhani kama wangekuwa online sasa hivi!!Kwa sababu wao sio suicide bombers kama ..... wewe?
wao ndio kina nani? na hao ''wewe'' wangekuwa suicide bombes sidhani kama wangekuwa online sasa hivi!!
Chama kwangu siyo isssue but Islam is above all ndiyo maana nataka chadema watoe msimamo wao kama cham mbadala otherwise..wanaota ndoto...maana hizo issues zitakuwepo kila siku mpaka kieleweke!!!
kumbe uko kwenye MIPASHO na kadhalika, nilidhani kuna sensible discussion!!! haya endelea kuenjoy mipasho.wako online wanaandaa video za kimujahidini ili baadaye zirushwe na al jazeera.
Kwani msimamo wa CCM on these issues ni upi?Nimekua nikifuatilia maoni mbalimbali katika Forum hii na vyombo vya habari nikawa sijapata jibu halisi kuhusiana na msimamo wa chama cha CHADEMA katika mambo kadhaa yanayotokea katika taifa hili ambapo ningeomba wadau mnieleweshe:
1. Nini Kauli na Msimamo wa CHADEMA katika waraka uliotolewa na Kanisa Katoliki?
2. Nini Kauli na Msimamo wa CHADEMA katika waraka uliotolewa na Shura ya Maimamu?
3. Nini Maoni ya CHADEMA na Msimamo wao kuhusiana na Mahakama ya Kadhi Tanzania?
4. Mwisho ni nini msimamo wa CHADEMA katika dhana ya Tanzania kujiunga na OIC?
Wadau ningependa kupata ufafanuzi wa haya ili nijue
kumbe uko kwenye MIPASHO na kadhalika, nilidhani kuna sensible discussion!!! haya endelea kuenjoy mipasho.
HahahaHah hah ha,
Unataka kukana chama chako cha kifisadi?
Mwisho utakana dini yako ya wabakaji na suicide bombers.
1. Nini Kauli na Msimamo wa CHADEMA katika waraka uliotolewa na Kanisa Katoliki?
2. Nini Kauli na Msimamo wa CHADEMA katika waraka uliotolewa na Shura ya Maimamu?
3. Nini Maoni ya CHADEMA na Msimamo wao kuhusiana na Mahakama ya Kadhi Tanzania?
4. Mwisho ni nini msimamo wa CHADEMA katika dhana ya Tanzania kujiunga na OIC?
Kama vile una make sense lakini imekaa kisiasa sanaaaa! wamejitahidi kukwepa lawama, hata hivyo kukwepa lawama ndio mtindo huo huo wanaotumia CCM at the end lazima waseme YES or NO! hapoCHADEMA inaamini Madhehebu ya kidini kama makundi mengine yoyote yana uhuru wa kutoa maoni yao. CHADEMA inaunga mkono matamko yanayotoa elimu ya uraia kwa Watanzania. Lakini wakati huohuo CHADEMA haifungamani na dini yoyote na haiungi mkono matamko yanayobagua kwa msingi wa kidini.
CHADEMA inataka Katiba mpya iliyoridhiwa na Watanzania wa dini zote. Kutowashirikisha Watanzania katika kutunga katiba yao ndicho chanzo cha malumbano kama haya. Demokrasia kwa lugha nyepesi maana yake ni wengi wape, na huo ndio msimamo wa chama cha DEMOKRASIA na MAENDELEO (CHADEMA).
Kama vile una make sense lakini imekaa kisiasa sanaaaa! wamejitahidi kukwepa lawama, hata hivyo kukwepa lawama ndio mtindo huo huo wanaotumia CCM at the end lazima waseme YES or NO! hapo
mfano YES kwa mahakama ya kadhi or NO hilo ndio jibu rahisi kueleweka kwetu..siyo blah blah

Katika mahojiano kadhaa, slaa na siku nyingine aliyekuwa kaimu katibu mkuu wameunga mkono waraka wa katoliki...hilo ndilo nafahamu....na ilikuwa katika gazeti la mwananchi...na ni kwa msingi huo, msimamo wa Chadema utakuwa;
1. kukataa mahakama ya kadhi kwakuwa walaka umekataa
2.Kukataa OIC kwakuwa msingi wa walaka umekataa
3.Kukataa waraka wa waislamu kwakuwa waraka huo unapendekeza OIC na Mahakama ya kadhi...labda kama mnataka wafanye mkutano kabisa na wandushi kupinga sawa...lakini kwa mana ya kuulizwa na kujibu, hayo ndio majibu yaliyokwishatolewa...nakumbuka hata mbowe alipohojiwa kama anapinga au anaunga mkono mambo hayo, hakutoa jibu, aliahirisha jibu, akasema ni mambo yanayohitaji mjadala wa kitaifa...ukweli mambo haya ni muhimu kila chama kikaweka wazi kinaamini nini badala ya kucheza na akili za wapiga kula...kujificha kwenye masuala na mijadala tete kama hii ni udhaifu....toa jibu hata kama ni chungu....kujificha au kukimbia ukweli ni unafiki kisiasa....
bahati mbaya wote waliojibu kwa niaba ya chadema ni christians, sijui siku akiulizwa zitto(muislamu) atasemaje?...labda kwakuwa ni mchangiaji naye tumsikie ana majibu gani kwa maswali haya....sio ajabu akatofautiana na wenzake mana chama chao wanaita ni cha kidemokrasia ingawa waliogopa competetive election kwenye uenyekiti, nadhani walisahau...siku nyingine hawarudii
duh mzee mdini paka nakuogopa mwili unasisika...tujadili mabmo kimsingi jamani tusikshfu dini za watu...tujadili je chadema wanasera au wanambwelambwela kama wenzao CCM..tusiwe na jazba...Na wakiambiwa wasome wanakataa ... taabu tupu.
Katika mahojiano kadhaa, slaa na siku nyingine aliyekuwa kaimu katibu mkuu wameunga mkono waraka wa katoliki...hilo ndilo nafahamu....na ilikuwa katika gazeti la mwananchi...na ni kwa msingi huo, msimamo wa Chadema utakuwa;
1. kukataa mahakama ya kadhi kwakuwa walaka umekataa
2.Kukataa OIC kwakuwa msingi wa walaka umekataa
3.Kukataa waraka wa waislamu kwakuwa waraka huo unapendekeza OIC na Mahakama ya kadhi...labda kama mnataka wafanye mkutano kabisa na wandushi kupinga sawa...lakini kwa mana ya kuulizwa na kujibu, hayo ndio majibu yaliyokwishatolewa...nakumbuka hata mbowe alipohojiwa kama anapinga au anaunga mkono mambo hayo, hakutoa jibu, aliahirisha jibu, akasema ni mambo yanayohitaji mjadala wa kitaifa...ukweli mambo haya ni muhimu kila chama kikaweka wazi kinaamini nini badala ya kucheza na akili za wapiga kula...kujificha kwenye masuala na mijadala tete kama hii ni udhaifu....toa jibu hata kama ni chungu....kujificha au kukimbia ukweli ni unafiki kisiasa....
Kwani hawajao hao?Hahaha
subiri subiri na we.te te te!!
Endelea baba askofu anakuhitaji muwahishie leo zamu ya nani pengo au mula, au kilaini..