Nini Msimamo wa CHADEMA katika mambo haya?

Good job,

Haikuchukua zaidi ya siku moja kujua message kwenye thread yako. Kumbe ni mwana ccm - chama cha mafisadi!?
Then what? wewe si ni CHADEMA who care?
 
Chama kwangu siyo isssue but Islam is above all ndiyo maana nataka chadema watoe msimamo wao kama cham mbadala otherwise..wanaota ndoto...maana hizo issues zitakuwepo kila siku mpaka kieleweke!!!
 
Hah hah ha,

Unataka kukana chama chako cha kifisadi?

Mwisho utakana dini yako ya wabakaji na suicide bombers.
 
Nimekua nikifuatilia maoni mbalimbali katika Forum hii na vyombo vya habari nikawa sijapata jibu halisi kuhusiana na msimamo wa chama cha CHADEMA katika mambo kadhaa yanayotokea katika taifa hili ambapo ningeomba wadau mnieleweshe:

1. Nini Kauli na Msimamo wa CHADEMA katika waraka uliotolewa na Kanisa Katoliki?
2. Nini Kauli na Msimamo wa CHADEMA katika waraka uliotolewa na Shura ya Maimamu?
3. Nini Maoni ya CHADEMA na Msimamo wao kuhusiana na Mahakama ya Kadhi Tanzania?
4. Mwisho ni nini msimamo wa CHADEMA katika dhana ya Tanzania kujiunga na OIC?

Wadau ningependa kupata ufafanuzi wa haya ili nijue
Kwani msimamo wa CCM on these issues ni upi?

- issue sio msimamo, ni sera, kama ambavyo sera za chadema zinasema hazitawakumbatia mafidai, na za sisiem zinasema tutawakumbatia mafisadi na kugeza nchi hii itumie sheria z kiislam.
 
Hah hah ha,

Unataka kukana chama chako cha kifisadi?

Mwisho utakana dini yako ya wabakaji na suicide bombers.
Hahaha
subiri subiri na we.te te te!!
Endelea baba askofu anakuhitaji muwahishie leo zamu ya nani pengo au mula, au kilaini..
 
1. Nini Kauli na Msimamo wa CHADEMA katika waraka uliotolewa na Kanisa Katoliki?
2. Nini Kauli na Msimamo wa CHADEMA katika waraka uliotolewa na Shura ya Maimamu?

CHADEMA inaamini Madhehebu ya kidini kama makundi mengine yoyote yana uhuru wa kutoa maoni yao. CHADEMA inaunga mkono matamko yanayotoa elimu ya uraia kwa Watanzania. Lakini wakati huohuo CHADEMA haifungamani na dini yoyote na haiungi mkono matamko yanayobagua kwa msingi wa kidini.

3. Nini Maoni ya CHADEMA na Msimamo wao kuhusiana na Mahakama ya Kadhi Tanzania?
4. Mwisho ni nini msimamo wa CHADEMA katika dhana ya Tanzania kujiunga na OIC?

CHADEMA inataka Katiba mpya iliyoridhiwa na Watanzania wa dini zote. Kutowashirikisha Watanzania katika kutunga katiba yao ndicho chanzo cha malumbano kama haya. Demokrasia kwa lugha nyepesi maana yake ni wengi wape, na huo ndio msimamo wa chama cha DEMOKRASIA na MAENDELEO (CHADEMA).
 
CHADEMA inaamini Madhehebu ya kidini kama makundi mengine yoyote yana uhuru wa kutoa maoni yao. CHADEMA inaunga mkono matamko yanayotoa elimu ya uraia kwa Watanzania. Lakini wakati huohuo CHADEMA haifungamani na dini yoyote na haiungi mkono matamko yanayobagua kwa msingi wa kidini.

CHADEMA inataka Katiba mpya iliyoridhiwa na Watanzania wa dini zote. Kutowashirikisha Watanzania katika kutunga katiba yao ndicho chanzo cha malumbano kama haya. Demokrasia kwa lugha nyepesi maana yake ni wengi wape, na huo ndio msimamo wa chama cha DEMOKRASIA na MAENDELEO (CHADEMA).
Kama vile una make sense lakini imekaa kisiasa sanaaaa! wamejitahidi kukwepa lawama, hata hivyo kukwepa lawama ndio mtindo huo huo wanaotumia CCM at the end lazima waseme YES or NO! hapo
mfano YES kwa mahakama ya kadhi or NO hilo ndio jibu rahisi kueleweka kwetu..siyo blah blah
 
Sidhani kama chadema wanataka kujihusisha na suicide bombers na wabakaji.
 
Kama vile una make sense lakini imekaa kisiasa sanaaaa! wamejitahidi kukwepa lawama, hata hivyo kukwepa lawama ndio mtindo huo huo wanaotumia CCM at the end lazima waseme YES or NO! hapo
mfano YES kwa mahakama ya kadhi or NO hilo ndio jibu rahisi kueleweka kwetu..siyo blah blah

Majibu rahisi ni YES kwa wanachotaka wananchi na NO kwa ahadi za danganya toto kama zile zilizotolewa za JK wakati wa kampeni 2005. Anayekwepa lawama ni yule aliyetufikisha hapa halafu hana jibu, na huyo sio CHADEMA. CHADEMA ikipewa nchi imeahidi kubadilisha katiba ya nchi ndani ya awamu moja na wakati huo hutakuwa na sababu tena ya kuuliza haya maswali kwani majibu utakuwa unayafahamu.

Umeuliza maswali yaliyokaa kisiasa sanaaaa usishangae ukipata majibu yaliyokaa kisiasa sanaaaa.
 
Katika mahojiano kadhaa, slaa na siku nyingine aliyekuwa kaimu katibu mkuu wameunga mkono waraka wa katoliki...hilo ndilo nafahamu....na ilikuwa katika gazeti la mwananchi...na ni kwa msingi huo, msimamo wa Chadema utakuwa;
1. kukataa mahakama ya kadhi kwakuwa walaka umekataa
2.Kukataa OIC kwakuwa msingi wa walaka umekataa
3.Kukataa waraka wa waislamu kwakuwa waraka huo unapendekeza OIC na Mahakama ya kadhi...labda kama mnataka wafanye mkutano kabisa na wandushi kupinga sawa...lakini kwa mana ya kuulizwa na kujibu, hayo ndio majibu yaliyokwishatolewa...nakumbuka hata mbowe alipohojiwa kama anapinga au anaunga mkono mambo hayo, hakutoa jibu, aliahirisha jibu, akasema ni mambo yanayohitaji mjadala wa kitaifa...ukweli mambo haya ni muhimu kila chama kikaweka wazi kinaamini nini badala ya kucheza na akili za wapiga kula...kujificha kwenye masuala na mijadala tete kama hii ni udhaifu....toa jibu hata kama ni chungu....kujificha au kukimbia ukweli ni unafiki kisiasa....
 
bahati mbaya wote waliojibu kwa niaba ya chadema ni christians, sijui siku akiulizwa zitto(muislamu) atasemaje?...labda kwakuwa ni mchangiaji naye tumsikie ana majibu gani kwa maswali haya....sio ajabu akatofautiana na wenzake mana chama chao wanaita ni cha kidemokrasia ingawa waliogopa competetive election kwenye uenyekiti, nadhani walisahau...siku nyingine hawarudii
 
Talking points za madrassa utazijua tu
 
bahati mbaya wote waliojibu kwa niaba ya chadema ni christians, sijui siku akiulizwa zitto(muislamu) atasemaje?...labda kwakuwa ni mchangiaji naye tumsikie ana majibu gani kwa maswali haya....sio ajabu akatofautiana na wenzake mana chama chao wanaita ni cha kidemokrasia ingawa waliogopa competetive election kwenye uenyekiti, nadhani walisahau...siku nyingine hawarudii

Na wakiambiwa wasome wanakataa ... taabu tupu.
 
duh mzee mdini paka nakuogopa mwili unasisika...tujadili mabmo kimsingi jamani tusikshfu dini za watu...tujadili je chadema wanasera au wanambwelambwela kama wenzao CCM..tusiwe na jazba...
 
Katika mahojiano kadhaa, slaa na siku nyingine aliyekuwa kaimu katibu mkuu wameunga mkono waraka wa katoliki...hilo ndilo nafahamu....na ilikuwa katika gazeti la mwananchi...na ni kwa msingi huo, msimamo wa Chadema utakuwa;
1. kukataa mahakama ya kadhi kwakuwa walaka umekataa
2.Kukataa OIC kwakuwa msingi wa walaka umekataa
3.Kukataa waraka wa waislamu kwakuwa waraka huo unapendekeza OIC na Mahakama ya kadhi...labda kama mnataka wafanye mkutano kabisa na wandushi kupinga sawa...lakini kwa mana ya kuulizwa na kujibu, hayo ndio majibu yaliyokwishatolewa...nakumbuka hata mbowe alipohojiwa kama anapinga au anaunga mkono mambo hayo, hakutoa jibu, aliahirisha jibu, akasema ni mambo yanayohitaji mjadala wa kitaifa...ukweli mambo haya ni muhimu kila chama kikaweka wazi kinaamini nini badala ya kucheza na akili za wapiga kula...kujificha kwenye masuala na mijadala tete kama hii ni udhaifu....toa jibu hata kama ni chungu....kujificha au kukimbia ukweli ni unafiki kisiasa....

Slaa alikuwa katibu mkuu wa wakatoliki Tanzania kwa miaka mingi ndiye aliyebuni MOU kati ya Kanisa na serikali, unategemea nini? na alishiriki hata vikao vyote.aje kupinga kama sio kweli.chama kinaongozwa na aliyekuwa Katibu mkuu wa wakatoliki Tanzania unataka jibu gani kwenye masuala hayo?
 
Back
Top Bottom