Tumain
JF-Expert Member
- Jun 28, 2009
- 3,154
- 71
Nimekua nikifuatilia maoni mbalimbali katika Forum hii na vyombo vya habari nikawa sijapata jibu halisi kuhusiana na msimamo wa chama cha CHADEMA katika mambo kadhaa yanayotokea katika taifa hili ambapo ningeomba wadau mnieleweshe:
1. Nini Kauli na Msimamo wa CHADEMA katika waraka uliotolewa na Kanisa Katoliki?
2. Nini Kauli na Msimamo wa CHADEMA katika waraka uliotolewa na Shura ya Maimamu?
3. Nini Maoni ya CHADEMA na Msimamo wao kuhusiana na Mahakama ya Kadhi Tanzania?
4. Mwisho ni nini msimamo wa CHADEMA katika dhana ya Tanzania kujiunga na OIC?
Wadau ningependa kupata ufafanuzi wa haya ili nijue