lakini nao am glad that many Tanzanians wameanza kujua wajibu wao kwa nchi yao, nchi haiwezi kuendelea kama vijana tumelala. lakini what i would ask Tanzanians ni kuwa jamani tuanze kuijenga nchi yetu, make kila nikija home naona vijana wanaota kupata utajiri kwa njia za udanganyifu yaani ufisadi. jamani tuachane na hizi fikra potofu kuwa ili uwe tajiri lazima uibe, make ukiiba yaani zaidi unajiibia wewe mwenyewe, make ukiiba huwezi jua impact yake, labda ukijua kuwa ukiiba utakuwa umewakomoa Watanzania lakini kumbe ndani ya hao Watanzania kuna bibi yako, babu yako, binamu zako na wengine ambao watasuffer kwa aijli yako.
Tutengeze katabia kuwa hard workers tukifocus zaidi kuwa successful lakini sio kwa kuiba.
Ni mawazo yangu (rom)