Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya heri si maneno matupu na malalamiko" Uhalisia ni kwamba Mahakama ya kadhi ni lazima kwa Waislamu wa Tanzania siyo porojo tu.Msimamo wa Chadema ni mambo ya heri kwa Watanzania si mambo ya hadaa ya kupata kura.Uhalisia wa mambo uko wazi kwa Tanzania ya leo.
Mambo ya heri si maneno matupu na malalamiko" Uhalisia ni kwamba Mahakama ya kadhi ni lazima kwa Waislamu wa Tanzania siyo porojo tu.