PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,455
Mbona unaturudisha nyuma? tulishatoa maoni yetu 61% ya watanzania wote wanataka serikali 3.Piga kura yako sasa kwa kuandika neno MBILI AU TATU Ilikupata msimamo wako ju ya serikali unazizitaka katika katiba mpya. NIWAOMBE MOD'S WATUSAIDIE KUTENGENEZA UTARATIBU KAMA ULE WA MPAMBANO KATI YA DR.SLAA NA LOWASA NA MSIUONDOE MPAKA KATIBA ITAKAPO PATIKANA. TAFADHALI SANA.
tatu...piga kura yako sasa kwa kuandika neno mbili au tatu ilikupata msimamo wako ju ya serikali unazizitaka katika katiba mpya.
Niwaombe mod's watusaidie kutengeneza utaratibu kama ule wa mpambano kati ya dr.slaa na lowasa na msiuondoe mpaka katiba itakapo patikana. Tafadhali sana.
Ile ilikuwa ya watanzania, hapa tunataka ya JFMbona unaturudisha nyuma? tulishatoa maoni yetu 61% watanzania wanataka serikali 3.
Piga kura yako sasa kwa kuandika neno MBILI AU TATU Ilikupata msimamo wako ju ya serikali unazizitaka katika katiba mpya.
NIWAOMBE MOD'S WATUSAIDIE KUTENGENEZA UTARATIBU KAMA ULE WA MPAMBANO KATI YA DR.SLAA NA LOWASA NA MSIUONDOE MPAKA KATIBA ITAKAPO PATIKANA. TAFADHALI SANA.
hatutaki miserekali miiingi, ya nini kwani
Muumini wa Warioba na watanzania.
mbona hakuna kwa wanaotaka serikali moja?
Kwa mchakato unavyoendelea, serikali moja haiwezekani!
Hivi hatua za kuowa na kujenga nyumba ni zipi?