Nini msimamo wako kama mtanzania. Serikali,mbili au tatu

Nini msimamo wako kama mtanzania. Serikali,mbili au tatu

Mimi naamini katika serikali moja kama siyo kila mtu ajue nyumba yake yani tuvunje muungano kama ilivyo kwao Wanzanzibar na hakuna kuomba uraia wanzibara kwao na wanzanzibari kwao
 
Suluhisho hapa ni kuwa na serikali moja tu. zanzibar iwe mikoa kama ilivyo ya Tanzania bara. serikali tatu hazitatekelezeka ni kama kuvunja muungano tu. sasa hivi fedha (bajeti) haitoshi, itakuwaje serikali ya muungano isiyokuwa na mapato yake itegemee serikali hizi zisizojitosheleza? nani ataacha kwake ampe serikali ya Muungano? we need to think twice otherwise tutaunda dude lisiloweza kufanya kazi.
 
Serikali tatu is the " Right Thing at Wrong Time", An ideal situation in imposibilities. that is tantamount to Nothing.
 
Serikali 3 ni chaguo sahihi kwani hata gharama wanazozisema hazina maana,unajiuliza ni vitu vingapi tumefanya na kupoteza pesa bure na bado tunaendelea kuvifanya? na je vimetusaidia nini? mbona serikali haikuwahi kukemea hilo? sasa iweje leo jambo zuri kama hili eti ndo ionekane pesa zitakwenda sana,kwani za Kiwira,Epa,Richmond,Rada n.k zilitusaidia nini mbona hizo hawazisemi hawa CCM na unafiki wao?
 
Serikali mbili ; moja Tanganyika na nyingine ya Zanzibar bila muungano; kila mtu aendeleze nchi yake badala ya kupotezeana mda.
 
Nimi nampongeza sama JK lea hotuba yake ya karne ametueleza hasara za serili tátu na faida za serikali mbili. Kwamba mbili changamoto zake zinazungumzika na gharama zake ní nafuu sana ukilinganisha na serikali tátu.

Ndo maana hata kuandika hujui, kadhalika na kusoma. Kwa hiyo akisema yeye ndo nini? Kama gharama basi tuwe na serikali moja tu
 
Serikali 2 ya TANGANYIKA na ZANZIBAR halafu kuwepo na Jumuiya ya Watanganyika na Wazanzibar. Hapo kwisha habari; tuwe kama EAC.
 
[emoji654] habari wana foramu ama baada ya salama napenda kuandika yafuatayo ili mwenye elimu nayo atumie uzi huu kunielimisha na kunishawishi kimsimamo kimtazamo na kimantiki

[emoji654] Bora nini kati ya serikari mbili au serikali tatu?? Uchambuzi naomba ubase kwenye hoja za mifano faida na hasara na si ushabiki wa vyama
[emoji841] NB tumia uzi huu kutengeneza mitazamo chanya katika watu.
 
[emoji654]

[emoji654] Bora nini kati ya serikari mbili au serikali tatu?? Uchambuzi naomba ubase kwenye hoja za mifano faida na hasara na si ushabiki wa vyama
[emoji841] NB tumia uzi huu kutengeneza mitazamo chanya katika watu.

Bora serikali mbili, ya Tanganyika na ya Zanzibar.
 
Serikali inatakiwa ziwe tatu.
Moja hii ambayo haijulikani imepotelea wapi, Serikali ya Tanganyika.
Mbili Serikali ya Zanzibar
Tatu Serikali ya muungano.
 
Back
Top Bottom